Nguchiro anafugika mkuu?Fuga nguchiro au paka Mkuu
Hatua ya muda mfupi ni kunyunyizia diesel (au mafuta ya taa) kuzunguka eneo lako.
Unaweza kutumia sprayer kama hii hapa chini kwenye picha kunyunyizia diesel hiyo kuzunguka eneo lako.
Harufu ya diesel inawakera sana nyoka na wataenda mbali.
Ila itabidi urudie ku-spray kama mvua itanyesha, maana maji ya mvua yakapunguza harufu ya diesel.
Looks interesting lakini hao sangara nawapata wapi kaka hapa dar/pwani?Kapandikize wadudu waoitwa sangara. ni aina ya siafu na wanaishi kwenye vishimo wanavojichimbia wenyewe ardhini. hawa wadudu ni dhahama kubwa sana kwa nyoka. popote walipo nyoka hakanyagi
Nimeona wengi wakilitumia nawamefanikiwa kwa kiasi kikubwaMkuu hii ni kweli?
Kuna sehemu nimeona pia wanasema kuwa ukiupanda kama sehemu ya bustani unasaidia kuzuia mbu wasikaribie hilo eneo.tafuta mmea wa mchaichai ni mzuri sana kuzuia nyoka pia ni lishe kwani hutumika kwenye chai na una ladha ya kuvutia . unapanda pembeni mwa shamba