Ni stew
stew 1 |st(y)oō|noun1 a dish of meat and vegetables cooked slowly in liquid in a closed dish or pan : lamb stew | : add to casseroles, stews, and sauces.
Kwa kuwa mboga ni kitoweo kinachotokana na kitenzi "kutowea" au "kutoelea" katika maana ya kuchanganya ili kupata ulaini wa kuweza kutafuna ugali na kuumeza kirahisi, basi mimi ningesema kiingereza cha "mboga" ni "mixer". Kumbe unaweza kusema "ugali mixer", wali mixer, nk. ukimaanisha kile unachochanga na ugali au wali ili kuula kwa raha na kwa urahisi. Hivo, mixer yaweza kuwa mchuzi, nyama, dagaa, nk.
katika michango yote ya members mbalimbali, i think this is the most correct answer.... Thanxx sana mkuu
Si kweli. Huwezi kwenda restaurant Magharibi ukakuta choice ya "steak and salad" peke yake! Nyama au mboga za majani always zinakuwa served na french fries, rice, pasta, mashed potatoes, au mkate, why?concept ya ugali/rice/chapati versus mboga (aina yoyote) is not an english concept. ... wanaweza kula steak na salad, vyote ni mboga.
Na ile style ya kichuma mboga si inaitwa dog style? Basi utafiti wetu uanzie hapa kwenye dog style
For the sake ya kubishana/ kuelimishana?
Nyama ya kuchoma ni mboga?
Pia kumbuka kun akiingereza cha wale wenyewe wandani, na kuna international English isiyo na mwenyewe, kiswahili nacho ni hivyo hivyo kinapopanuka kinawaacha wale wenyewe na kuwa lugha ya kimataifa, yani kinapita tamaduni tofauti, lazima kusiwe na 'muafaka' sometimes.
Kuna maneno mengi sana 'waingereza' wenyewe hawajui kama ni ya kiingereza, wala hayako kwenye maisha yao, japo utayakuta kwenye kamusi.
Kwa hio kusema kiswahili ni lugha dhaifu, si kweli hata kidogo, bali uelewa/ ufahamu wa mtu mara nyingi ndio unakuwa dhaifu.
wataalamu wa lugha, sio sisi wapitanjia wanakiona kiswahili ni kugha yenye uwezo mkubwa sana, na inauwezo wa kuvuka tamaduni na kutumika kokote, yani ina uwezo wa kukua, na kutosheleza kila inapotaka kutumika.
Tatizo kubwa ni sie KUAMUA kuienzi.
inategemea unazungumzia mboga gani. Kama samaki unasema fish mboggar, kama nyama unasema meat mboggar nk
wait a minute.... whaaaaaaaat.. eeeeer. mmmh.... "mboggar". zisi is veri veri interesting..... well i am official quit inglish stadis.. kama ni kuongeza "r" au "s" to kwenye kinglish... bac naenda kudai ada yangu hawawezi kunichakachua c wangesema tu we ongeza "r" katika kila neno...... nahamia kwenye kiarabu na wanakochora maua....... kutoka kushoto kwenda kulia.... au wachora vibox na vijumba vya msonge wachina na japanese
Hahahaa, hii imenikumbusha miaka ileeee.............
Mwalimu: Rais wa Kenya anaitwa?
Mtoto: Sijui.
Mwalimu: Anaitwa Kenyatta.
Mtoto: Ohhh, safi sana. Sasa nimeshaelewa, Wa Zambia anaitwa Zambiatta, Uganda anaitwa Ugandattta, Malitta, Senegalitta, Libyatta....
'Ukimwaga ugali nnamwaga mboga!'
Unaumwa wewe...
inategemea unazungumzia mboga gani. Kama samaki unasema fish mboggar, kama nyama unasema meat mboggar nk