Chuma Chakavu
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,523
- 654
inategemea unazungumzia mboga gani. Kama samaki unasema fish mboggar, kama nyama unasema meat mboggar nk
Sasa hapo SAUSE au SOUP au STEW iko wapi?
Nakubaliana na wanaosema kuwa HAKUNA NENO KAMILI hasa ukichukulia utamaduni wetu na wao.
Nilishaona mtu anakula ugali kwa kutumia tui la karanga na chumvi.
Ngoja tuwasubiri wataalamu wa Kiingereza watakuja na definition nzuri sana kwetu sote.
wadau, habari ya saa hizi, naomba msaada wa neno husika hapo juu kwa kiingereza
wadau, habari ya saa hizi, naomba msaada wa neno husika hapo juu kwa kiingereza
Nadhani hukunielewa mkuu.Si kweli. Huwezi kwenda restaurant Magharibi ukakuta choice ya "steak and salad" peke yake! Nyama au mboga za majani always zinakuwa served na french fries, rice, pasta, mashed potatoes, au mkate, why?
Au ushamtembelea mzungu gani ukakuta wamepika li nyama peke yake wanalila na majani?
Concept ya "balanced diet" ambayo tunafundishwa na elimu za wazungu hao hao zinasema chakula shurti kiwe na hamirojo/wanga. Na wanga unaliwa na mboga. Kwa hiyo magharibi mboga ipo!
Hujui Kiswahili cha hamirojo na wanga, kwani wewe hukwenda shule au umekulia shamba gani huko ambako hamuongei Kiswahili? Sasa sijui tutaendeleaje kujadili wakati mwenzangu lugha yangu huielewi.... Umesema balanced meal ni hamirojo/wanga... I am sorry, sijaelewa hichi kiswahili, naomba unifafanulie.
Sorry. tulikua tunaongea kiswahili ila shule nilienda mimi hatukua tunapewa chakula. Kila mtu anatoka na mitewe nyumbani. kama sio mitewe ni rowe. Unajua mitewe na rowe? lolHujui Kiswahili cha hamirojo na wangu, kwani wewe hukwenda shule au umekulia shamba gani huko ambako hamuongei Kiswahili? Sasa sijui tutaendeleaje kujadili wakati mwenzangu lugha yangu huielewi.
Sorry. tulikua tunaongea kiswahili ila shule nilienda mimi hatukua tunapewa chakula. Kila mtu anatoka na mitewe nyumbani. kama sio mitewe ni rowe. Unajua mitewe na rowe? lol