Msaada mchwa wamekuwa tatizo

Msaada mchwa wamekuwa tatizo

IMG_8037.jpg
 
Asante matumizi yake kama hautajali inatumiwaje?

Mchwa awaishi mpka umuue malikia wao, so kwa vile uwez kujua malkia alipo fanya hivi….tafuta yale maranda ya mbao yale malaini sana then changanya dawa (utasoma kwenye kopo) alafu mwagia dawa kwenye maranda na kwenye maeneo yote unayoonaga mchwa (ukiweza nyumba nzima) kisha tandaza yale maranda yenye dawa maeneo yote mpka kwenye dari hapo utafankiwa coz wale mchwa watakula maranda yenye sumu na mengne watampelekea malkia ambae nae atakufa eventually coz mchwa wanapenda sana maranda. Ukiweza rudia zoez hili mara mbili au tatu NB: takes all the precautions wakat unafnya hili zoezi
 
Asante sana kaka hii ni njia nzuri Sana nayo. japo sijawahi isikia nashukuru nadhan ntajarib zote mpk nipate suluhisho
 
Habari za jioni wanaforum.

Naomba msaada wa anaejua suluhisho la mchwa nyumba Iko kwenye kichanga lakini mchwa ni wengi Sana ndani kumepigwa tairizi lakini bado tafadhari ndugu zangu anaejua dawa anisaidie.

Asanteni
Hahahahahah ulijenga kwenye territory yao, utakoma ubishi. Usiwaue kabisa, ongea nao tu wakupishe wataondoka.
 
Mchwa wanatia hasira sana hata mimi wananisumbua,apa nipo kwenye kutafuta mashudu ya tumbaku huku watu wengi wanaweka hayo kufukuza mchwa
 
Wapi huko?Mimi nipo Singida wapi yanapatikana pia natamani kujaribu kila njia
 
Nunua Vitashield ina Chlorpyrifos soma vipimo kwenye kopo pulizia kwenye eneo lenye mchwa watapotea.
Rudia tena baada ya siku 4 au 7.

Usipulize Duduba ina harufu sana ndani hakutakalika. Hiyo vitashield harufu yake si kali sana na inapotea muda mfupi.
 
Au anaweza kufanya fumigation kabisa kuita mtaalam japo hua nasikia wanarudi baada ya miaka 4 au 3 ila sio mbaya angalau watapungua taratibu
 
Back
Top Bottom