Msaada mchwa wamekuwa tatizo

Umeanza mambo yako.
Hiyo ni "hidden science" hawakupewa ila wachache sana na kwa uchache sana. Nafahamu, kwa upeo wako huwezi kunielewa mpaka uwe umekisoma kisa Cha Nabii Suleiman na kukielewa.
 
Hiyo ni "hidden science" hawakupewa ila wachache sana na kwa uchache sana. Nafahamu, kwa upeo wako huwezi kunielewa mpaka uwe umekisoma kisa Cha Nabii Suleiman na kukielewa.
Tupe darasa kidogo dada nami nina changamoto iyo kwangu
 
Tupe darasa kidogo dada nami nina changamoto iyo kwangu
Ongea nao tu, wataondoka. Pia unaweza kuwa uanwafukiza kwa ubani mara kwa mara.


Unajuwa siri hata ya Makanisani kufukiza ubani? Hususan kanisa katoliki? Ni simple kabisa, haina maana yoyote kiimani, kwanza ni manukato, pili ni fumigation, wadudu wengi hawapatani na harufu ya ubani, ni zoezi lililokuwa likifanyika kukimbiza wadudu.

Hata Waislam walikuwa wakikaa kwenye visomo vyao wanafukiza ubani ili kukimbiza wadudu, na kuwe na harufu nzuri. Majama wengine walipoona wakaona ni ibada ndipo ikashika mpaka leo, lakini ukweli ni kuwa hakuna ibada yoyote ya kufukiza ubani zaidi ya kukimbiza wadudu na kupata harufu nzuri. Iwe msikitini iwe kanisani iwe majumbani.

Mie huwa nafukiza ubani nauchanganya na udi nanyunyizia na banagi kwa mbaaaali, ooh, harufu ya kipekee na wadudu hata mbu hakai.

Fanya hivyo. Lakini usiniige mimi kutumia bangi, usije ukashikwa Tanzania huko. Huku nilipo bangi kidogo ni rukhsa.
 
Asante sana. Naifanyia kazi hii
 
Kuongea unaongea nao vp? Kwa ishara maneno au ikoje? Ufafanuzi tafadhali.
 
Hii nzuri mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…