Msaada mdogo wa NGOs mdogo wangu kazaliwa na maambukizi ya UKIMWI.

Msaada mdogo wa NGOs mdogo wangu kazaliwa na maambukizi ya UKIMWI.

Pole sana ndugu,umetoa ujumbe mzito sana kwa wanandoa mungu akubariki.Cha msingi nenda na huyo malaika kwa madaktari watakupa ushauri zaidi,Mungu awabariki.
Asante Sana, nitajitahid
 
Tafuta shirika linaitwa Pact Tanzania lipo mbeya pia wanamradi Wa HIV. Nasisitiza tena litafute hilo shirika watakupa A,B,C ..

Lakini pia unaweza kulitafuta shirika la Caritas mbeya watakuunga na shirika la pact Tanzania .
 
Nawaza Sana Sana dada.Kiukweli anatumia dawa,Ila natafuta awe ktk mikono salama zaidi
Kumjali kwa lishe bora Matunda na hata mnaweza kumtengenezea unga wa lishe. Asubuhi na mapema kabla ya kunywa dawa apate uji wa lishe wenyewe maziwa fresh. Baada ya hapo anatumia dawa bila kusahau matunda kwa wingi. Kipindi hiki ambacho bado mdogo anahitaji uangalizi wa karibu kumsaidia asipate magonjwa nyemelezi. Kama vile pneumonia ni mtoto hajui kitu anahitaji msaada kutoka kwa mamake maana ndio mtu aliyekaribu naye kwa sasa. Pole sana
 
Tafuta shirika linaitwa Pact Tanzania lipo mbeya pia wanamradi Wa HIV. Nasisitiza tena litafute hilo shirika watakupa A,B,C ..

Lakini pia unaweza kulitafuta shirika la Caritas mbeya watakuunga na shirika la pact Tanzania .
Asante sn mkuu Kwa msaada wako.Sipo Mbeya Kwa sasa nimetoka hivi juzi tu.Ila nitafanya juu chini nipate mawasiliano Yao.Ubarikiwe.Na dogo ana akili za darasani masikini.
 
Back
Top Bottom