Kumjali kwa lishe bora Matunda na hata mnaweza kumtengenezea unga wa lishe. Asubuhi na mapema kabla ya kunywa dawa apate uji wa lishe wenyewe maziwa fresh. Baada ya hapo anatumia dawa bila kusahau matunda kwa wingi. Kipindi hiki ambacho bado mdogo anahitaji uangalizi wa karibu kumsaidia asipate magonjwa nyemelezi. Kama vile pneumonia ni mtoto hajui kitu anahitaji msaada kutoka kwa mamake maana ndio mtu aliyekaribu naye kwa sasa. Pole sanaNawaza Sana Sana dada.Kiukweli anatumia dawa,Ila natafuta awe ktk mikono salama zaidi
Asante sn mkuu Kwa msaada wako.Sipo Mbeya Kwa sasa nimetoka hivi juzi tu.Ila nitafanya juu chini nipate mawasiliano Yao.Ubarikiwe.Na dogo ana akili za darasani masikini.Tafuta shirika linaitwa Pact Tanzania lipo mbeya pia wanamradi Wa HIV. Nasisitiza tena litafute hilo shirika watakupa A,B,C ..
Lakini pia unaweza kulitafuta shirika la Caritas mbeya watakuunga na shirika la pact Tanzania .