Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Asante mkuuInawezkana nenda wizara ya elimu upate muongozo epuka vishoka hapa JF
Inawezekana ila private. Mbona kuna niliosoma nao private waliishia std 6 wakaanza form 1?Wakuu salama?
Nina mdogo wangu anasomea Kenya kwa ufadhili wa kanisa sasa mwaka huu anahitimu darasa la nane. Nilitaka akimaliza aje aendelee huku na masomo ya sekondari. Naomba kujua yafuatayo:
1. Inawezekana yeye kuhamia katika mfumo wa elimu ya Tanzania?
2. Ni taratibu zipi zifuatwe ili akidhi vigezo vya kujiunga na sekondari huku?
3. Je anaweza kupata nafasi shule za serikali?
Mawazo yenu wadau.
Ahaa...asante mkuu. Nashukuru sana.Inawezekana ila private. Mbona kuna niliosoma nao private waliishia std 6 wakaanza form 1?
Mkuu asante ila hiyo option ya kwenda kwa mkuu wa shule haiwezi kuwa na athari mbeleniKuja kujiunga form 1 Tanzania government school ni ngumu, labda arudie darasa la 7 huku akifaulu ndo ataanza form 1 government school..
Km una pesa aanze form 1 kwa shule za binafsi hakuna pingamizi ni wewe tu na pesa zako.
Au nenda kwa mkuu wa sekondari akupe jina la mwanafunzi ambaye ameacha au hakuripoti shule iliko jina lake
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Hapana kuna option ya kubadilisha jina kabla ya registration kwaajili ya mtihani wa national form 2Mkuu asante ila hiyo option ya kwenda kwa mkuu wa shule haiwezi kuwa na athari mbeleni
Mara paap hiyo option ikagonga mwamba....Hapana kuna option ya kubadilisha jina kabla ya registration kwaajili ya mtihani wa national form 2
OK asante sana mkuu. Umekuwa msaada kwanguHapana kuna option ya kubadilisha jina kabla ya registration kwaajili ya mtihani wa national form 2
Na kweli muda wingine shortcut huwa zinatuponza sana.Mara paap hiyo option ikagonga mwamba....
Asante kwa tahadhari mkuu.Na kweli muda wingine shortcut huwa zinatuponza sana.
Afuate tu utaratibu kuliko kuja kujuta baadae.
Inaweza kugonga mwamba maana siku hizi mambo yako advanced tofauti na zamani. La saba data zao zipo online na mamlaka kuanzia picha mpaka matokeo. Ni bora akajiridhisha kwanza kama ulivyoshauriMara paap hiyo option ikagonga mwamba....
Kwanini atumie jina la mtu? mpeleke private school aendelee na jina lakeMkuu asante ila hiyo option ya kwenda kwa mkuu wa shule haiwezi kuwa na athari mbeleni
Asante mkuu,Inaweza kugonga mwamba maana siku hizi mambo yako advanced tofauti na zamani. La saba data zao zipo online na mamlaka kuanzia picha mpaka matokeo. Ni bora akajiridhisha kwanza kama ulivyoshauri
Asante mkuuKwanini atumie jina la mtu? mpeleke private school aendelee na jina lake
Sawa mkuu. Ikibuma anaendelea na jina hilo hiloOK asante sana mkuu. Umekuwa msaada kwangu
Jina halibadilishwi hata likikosewa. Siku hizi hakuna usajili wa karatasi na faili. Kila kitu ni mtandaoni. Na jina halibadiliki zaidi ya herufi moja au mbili tu. Mfano Jacklina ndo inaweza kuwa Jacklin basi.Hapana kuna option ya kubadilisha jina kabla ya registration kwaajili ya mtihani wa national form 2