huo itakuwa alichagua comb za sayansi tu...kama ni kweli mwambie aache ujinga.
sasa hapo kwanza asuribi kama watatoa majina mengine huku akiendelea kutafakari wazo la kurudia kidato.
kama hataki kurudia kidato sasa hapo ni kuingia tu website ya Nacte,kutafuta vyuo akasome anachokipenda.