Msaada: Mdogo wangu hajachaguliwa japo ana ufaulu mzuri

Msaada: Mdogo wangu hajachaguliwa japo ana ufaulu mzuri

CHEF

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
222
Reaction score
122
Kuna ndugu amepata C masomo yote isipokuwa physics D na Civics E; hapo anaweza kusoma combination ya PCM


NITANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI!!


:shock:😛oa
 
huo itakuwa alichagua comb za sayansi tu...kama ni kweli mwambie aache ujinga.
sasa hapo kwanza asuribi kama watatoa majina mengine huku akiendelea kutafakari wazo la kurudia kidato.

kama hataki kurudia kidato sasa hapo ni kuingia tu website ya Nacte,kutafuta vyuo akasome anachokipenda.
 
Back
Top Bottom