Heshima mbele wakuu,
Mimi na marafiki zangu wawili tunataka kuanzisha kampuni na tunataka Memorandum and articles of association,
Je, itatucost shilingi ngapi kwa wenye uzoefu au kama kuna muandaaji wa vitu hivyo atujuze tafadhali.
Asanteni..