Msaada: Memorandum & Articles of Association

LWENYI

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,798
Reaction score
2,107
Heshima mbele wakuu,

Mimi na marafiki zangu wawili tunataka kuanzisha kampuni na tunataka Memorandum and articles of association,
Je, itatucost shilingi ngapi kwa wenye uzoefu au kama kuna muandaaji wa vitu hivyo atujuze tafadhali.

Asanteni..
 
Tshsm 700,000 kama uko tayari wasikiana nami kwa namba O713551605
 
Heshima mbele wakuu,

Mimi na marafiki zangu wawili tunataka kuanzisha kampuni na tunataka Memorandum and articles of association,
Je, itatucost shilingi ngapi kwa wenye uzoefu au kama kuna muandaaji wa vitu hivyo atujuze tafadhali.

Asanteni..

Uko wapi tukusaidie?
 
Wadiliana nasi kwa simu: 0752238263
 
Umeulizwa uko wapi usaidiwe? Lakini uko kimya, hilo swali ni muhimu kwani ukiwa say Musoma na anayetaka kukusaidiayuko DAR basi kutakuwa na haja ya mawasiliano tofauti na yule wa DAR kwa DAR! Mimi pia naweza kukusaidia, tuwasiliane tu humu ndani.
 
laki 3 tutakupa na masaada wa kusajili company yako inbox me
 
Back
Top Bottom