Msaada mguu umepoteza hisia

Msaada mguu umepoteza hisia

is3haq

Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
24
Reaction score
2
Habarini wana jamvi, mimi ni kijana wa miaka 23 nina tatizo katika mguu wangu wa kushoto.Kuanzia kwenye goti kushuka chini kuna muda unapoteza hisia, wiki ya pili sasa tatzo hili linanisumbua.
Naombeni ushauri wenu.
 
Pole sana kwa hayo matatizo yako ushauri mzuri nenda kwanza Hospitali kawaone Ma-Daktari wahusika wa mifupa wakupime na kukutibu. Ikishindikana njoo hapa utpe Feedback tutakupa ushauri mzuri mwengine asante pole sana mkuu.@is3haq
 
ahsante kwa ushauri mkuu mzizimkavu
 
Pole sana kwa hayo matatizo yako ushauri mzuri nenda kwanza Hospitali kawaone Ma-Daktari wahusika wa mifupa wakupime na kukutibu. Ikishindikana njoo hapa utpe Feedback tutakupa ushauri mzuri mwengine asante pole sana mkuu.@is3haq
Mkuu wapi nitapata hawa madaktari wa mifupa?
 
Habarini wana jamvi, mimi ni kijana wa miaka 23 nina tatizo katika mguu wangu wa kushoto.Kuanzia kwenye goti kushuka chini kuna muda unapoteza hisia, wiki ya pili sasa tatzo hili linanisumbua.
Naombeni ushauri wenu.

Ulivyosema mguu unapoteza hisia nikajua ni ule mguu mdogo wa tatu......Pole sana anyway....Chamuhimu nenda kwa Hospital fasta ukafanye vipimo..
 
vipi mkubwa ulienda hospitali? Mi mwnyw nina tatizo hilo. Umeshapata suluhisho?
 
Hakupata ajali ataendaje Moi yeye aende nuhimbili national hospital aonane na madactari wa neurology
 
nakushauri uende hospitali kwa ma orthopedic surgeons maana huenda kuna compresion ya nerve sana sana zile za cutenous sensation,wahi hospitali
 
vipi mkubwa ulienda hospitali? Mi mwnyw nina tatizo hilo. Umeshapata suluhisho?

Nashukuru kwa mawazo yenu wanajamvi, nilienda hospital pale Herbat Kairuki na dokta akanieleza nini kinanisumbua, tatizo lilikuwa kuna nerve za fahamu zinazoleta taarifa kwenye mguu zilibanwa maeneo ya nyonga kutokana na kukaa chini muda mrefu.
Nilipewa vidonge vya kumeza na alishauri nifanye mazoezi especially ya kuruka kichurachura na yamenisaidia sana. Hivi sasa tatizo kama linaelekea kuisha.
Ushauri kwa wote tunaofanya shughuli za kukaa sana chini tutenge muda wa mazoezi japo wa dakika 30 ili tuepukane na matitzo yasiyo ya lazima.
 
hongera kwa maendeleo mazuri na ushuhuda kwani ni wachache wenye moyo huo lakin sasa kwanin usitaje na dawa ulizopewa kwa faida wengine?
 
Back
Top Bottom