Msaada, mguu wangu unauma

Msaada, mguu wangu unauma

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
539
Reaction score
340
Ilikua mwezi wa tatu mwaka jana kilijitokeza kipele kwenye mguu kikawa kina washa sana na nilipo jaribu kukuna kilitoa damu tokea hapo kikawa kinatanuka na kuweka gamba gumu juu.

Ila ndani kinauma na kinaenelea kukua maana sasa kinalingana na sh 200.
 
Nenda hospitali haraka sana, usifanye mchezo hata kidogo, tena nenda Ocean Road moja kwa moja ukaeleze kesi yako.
 
Mkuu Kuna uwezekano hyo ikawa Kansa wahi hospital
 
Back
Top Bottom