Msaada: Mhasibu anayeweza kufanya kazi bila kusimamiwa anatafuta ajira

Msaada: Mhasibu anayeweza kufanya kazi bila kusimamiwa anatafuta ajira

Jacky880

Member
Joined
Jan 3, 2021
Posts
13
Reaction score
11
Habari zenu wanajukwaa humu ndani Kuna watu wema sana Mimi nimefanikiwa kupitia jukwaa hili hili 🙏🙏🙏
Sasa Leo nimekuja na ombi jingine 😭 Kama wahitaji muhasibu anaeweza kazi bila kusimamiwa Kama kuandaa return za mwezi na kazi zote zihusizo uhasibu Basi tunaomba Sana ajira Kwan Kaka yangu anauhitaji wa kazi Mungu atawabariki 🙏🙏🙏 yupo kibaha ila mkoa wowote anafanya yupo tayari🙏🙏🙏 0757854660
 
Back
Top Bottom