Habari zenu wanajukwaa humu ndani Kuna watu wema sana Mimi nimefanikiwa kupitia jukwaa hili hili πππ
Sasa Leo nimekuja na ombi jingine π Kama wahitaji muhasibu anaeweza kazi bila kusimamiwa Kama kuandaa return za mwezi na kazi zote zihusizo uhasibu Basi tunaomba Sana ajira Kwan Kaka yangu anauhitaji wa kazi Mungu atawabariki πππ yupo kibaha ila mkoa wowote anafanya yupo tayariπππ 0757854660