Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
- Thread starter
-
- #21
Walimu kwenye mikopo hamjambo. Tena huko huko NMB.
inakopa nchi itakua mwalimu?!
Hujui nini maana ya mkopo/kukopa, nchi yenyewe inategemea mikopo kutoka nchi wahisani, wewe ni nani usikope? Hembu tokaaapa
Rudia tena kusoma comment yangu nilikua namjibu nani na kwa nini.....rudia tena kusoma kwa umakini sana usikurupuke!
Pamoja sana.Sorry Chinga nimemosea quotation ilikuwa nimjibu Ozzie am sorry for that mistake