Msaada:Mi mwalimu Nataka mkopo

Msaada:Mi mwalimu Nataka mkopo

Hao vikoba wamebuni kitu kizuri sana,watatengeneza hela sana kama watakuwa wakweli ila kwa watz ninavowajua yawezekana ikawa desi nyingne
 
Hujui nini maana ya mkopo/kukopa, nchi yenyewe inategemea mikopo kutoka nchi wahisani, wewe ni nani usikope? Hembu tokaaapa

Rudia tena kusoma comment yangu nilikua namjibu nani na kwa nini.....rudia tena kusoma kwa umakini sana usikurupuke!
 
Rudia tena kusoma comment yangu nilikua namjibu nani na kwa nini.....rudia tena kusoma kwa umakini sana usikurupuke!

Sorry Chinga nimemosea quotation ilikuwa nimjibu Ozzie am sorry for that mistake
 
Back
Top Bottom