Msaada: Miezi 3 hajaona siku zake na amepima hana mimba!

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,336
Wataalamu
Salaam;
Kuna Binti ni mfanyakazi wangu hapa dukani kwangu. Jana kanieleza kitu cha kustua kidogo,anasema,tangu mwezi wa 6 hakubleed na akawa na dalili zote za mimba. Kuchoka,kutapika nk.

Mwezi uliofuata yaani mwezi wa 7 akamjulisha mchumba kuwa huo ni mwezi wa pili hajaona siku zake na anadalili zote za mimba. Mchumba akafurahi na akaamua kumuoa kabisaa ingawa hakuwa amejiandaa! Wakafunga ndoa ya kiislam tar.10 aug.2018.

Jmosi tar.08 september.2018. akaamua kununua kipimo ili ahakikishe,aisee kipimo kikaonyesha hana mimba! Akaenda kununua kingine,akapima tena holaa! Hebu wataalamu madaktari tusaidieni,maana Binti amechanganyikiwa,atamwambia nn mmewe!??

Hili ni tatizo gani na linasababishwa na nini!?. Au afanye nini kupata ukweli zaidi!??

Nawasilisha!
 
Mchumba au boss ?
 
Huwa inatokea hali hiyo ila inategemeana na mwanaume kama akili yake inaelewa ila kama ni dudumizi lazima huyo binti atapata taabu kidogo.
Huwa inatokea hali ipi sasa mkuu,kuwa mimba ipo ila haionekani tu kwenye kipimo au hali ya kutopata siku zake!??
 
Vyote viwili hutokea, kuna binti mmoja niliwahi kusikia taarifa zake naye alipata dalili za mimba kwa muda ila baadae zile dalili zikapotea na kupoteza siku zake.

Sijui kitaalamu kwanini inatokea hivyo.
Huwa inatokea hali ipi sasa mkuu,kuwa mimba ipo ila haionekani tu kwenye kipimo au hali ya kutopata siku zake!??
 
Mchumba mkuu,me nilimgundua hayupo sawa,nilivyomuuliza ndo akaamua kunipa full story. Me ni km mwanangu kabisaa na kwa umri na nnavyojiheshimu siwezi kuvua nguo mbele yake hata iweje!
Nmeshtuka baada ya kuona kama tatizo linamhusu boss ila yeye anataka kuja na story za mchumba ...anyway inatokeaga kama haikuhusu kweli ni vizuri
 
Hali kama hii husababishwa na
1. Stress
2.Endocrine problems
3. Hypothalamic disorders
Ahsante mkuu..lkn nini hasa inasababisha hii Hypothalamic!?? Nilikuwa najaribu kusoma sijaelewa sawasawa,lkn naona tatizo la Endocrine linaweza kumpata kutokana na tatizo pia hypothalamic. Na hatua gani achukue kwa mazingira ya tatizo lake!??
 
Mambo ya hormonal imbalances. Mkienda hospitali wakipima damu na kufahamu ni hormones zipi, mnaweza kupewa dawa za kurekebisha.
 
Aende hospitali.
NB: ni hospitali sio zahanati
 
Huwa inatokea hali ipi sasa mkuu,kuwa mimba ipo ila haionekani tu kwenye kipimo au hali ya kutopata siku zake!??
Mshauri aende hospitali kupima maana hicho kipimo nacho kinautaalamu wake kama chombo siyo safi na kavu haiwezi onyesha kama anayo
 
Back
Top Bottom