magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,336
Wataalamu
Salaam;
Kuna Binti ni mfanyakazi wangu hapa dukani kwangu. Jana kanieleza kitu cha kustua kidogo,anasema,tangu mwezi wa 6 hakubleed na akawa na dalili zote za mimba. Kuchoka,kutapika nk.
Mwezi uliofuata yaani mwezi wa 7 akamjulisha mchumba kuwa huo ni mwezi wa pili hajaona siku zake na anadalili zote za mimba. Mchumba akafurahi na akaamua kumuoa kabisaa ingawa hakuwa amejiandaa! Wakafunga ndoa ya kiislam tar.10 aug.2018.
Jmosi tar.08 september.2018. akaamua kununua kipimo ili ahakikishe,aisee kipimo kikaonyesha hana mimba! Akaenda kununua kingine,akapima tena holaa! Hebu wataalamu madaktari tusaidieni,maana Binti amechanganyikiwa,atamwambia nn mmewe!??
Hili ni tatizo gani na linasababishwa na nini!?. Au afanye nini kupata ukweli zaidi!??
Nawasilisha!