Msaada: Miezi 6 baada ya kujifungua ninatoka maji meupe na kutopata hedhi

Msaada: Miezi 6 baada ya kujifungua ninatoka maji meupe na kutopata hedhi

leirilwa

Senior Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
118
Reaction score
22
Nina mda wa miezi sita na nusu toka nijifungue na sijarudi kwenye mzunguko wangu wa hedhi sasa majimaji meupe yasiyo na harufi yanatoka ukeni kwa wiki mbili.

Nashindwa kuelewa kama hii hali ni ya kawaida au la.

Naombeni msaada wenu wa mawazo.
 
pole sana au unatumia haya madawa ya uzazi wa mpango?
 
Muone dr, pia usisema hayana harufu, kwan inaweza wewe usihisi.
 
humu watakwambia "WEKA PICHA"

Please kamuone daktari wako wa GYN akusaidie
 
Back
Top Bottom