Msaada, miguu inatoa arufu

Msaada, miguu inatoa arufu

regy42

Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
55
Reaction score
30
Habari zenu wanajamvi

Naomba msaada wenu, ni dawa gani inaweza tibu tatizo la miguu kutoa harufu?
 
waombe mods wakusaidie kuhamisha post yako.....jukwaa la jf doctor unaweza pata msaada
 
Habari zenu wanajamvi..
Naomba msaada wenu,ni dawa gani inaweza tibu tatizo la miguu kutoa harufu?
Nenda kituo cha afya kilicho karibu nawe hapa sio mahali pake au jaribu jf doctor.
 
Ooyooo hiyo miguu ina toa harufu ki vipi ni mguu una vidonda au ni kwa kuvaa viatu na pole sana kamanda
 
Back
Top Bottom