Executivesister
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 514
- 594
Kunywa maji ya kutosha
Hakikisha una Soksi zaidi ya dozen moja namaanisha pea 12 na kuendelea.
Kausha miguu kabla ya kuvaa viatu.
Kila siku kabla ya kulala chukua punje nne za Kitunguu swaumu saga kilainike pitisha katikati ya vidole ulale ukiamka asbuhi osha miguu. Kama hupendi harufu ya Kitunguu swaumu paka dawa ya meno original kama colgate, paka katikati ya vidole kabla hujalala usiku.