Kuna bearing zozote za gear box mlizobadilisha?Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza.
Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete tukafunga ikatulia kidogo. Ila mwezi uliopita tumebadilisha shock-up tatizo limerudi!!!
Naomba msaada wenu wajuzi nini tatizo na utatuzi wake ni nini?
Asante
Asante sana kwa ushauri, tutafanyia kazi.Kwa kuanzia check
- Wheel allignment
- Ball joints
- Stearing rack
- Stabilizer link
- Engine mounting
Bearing asisahau piaKwa kuanzia check
- Wheel allignment
- Ball joints
- Stearing rack
- Stabilizer link
- Engine mounting
Kwa kuanzia check
- Wheel allignment
- Ball joints
- Stearing rack
- Stabilizer link
- Engine mounting
Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza.
Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete tukafunga ikatulia kidogo. Ila mwezi uliopita tumebadilisha shock-up tatizo limerudi!!!
Naomba msaada wenu wajuzi nini tatizo na utatuzi wake ni nini?
Asante
Anasema alibadili haikusaidiaBarring
Za sh ngapi,ukute ni zile za 25000 sijui 30000Anasema alibadili haikusaidia
Hapo mtihaniZa sh ngapi,ukute ni zile za 25000 sijui 30000