Msaada: Mimba inashika lakini inatoka nini tatizo?

Skyblue

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
196
Reaction score
55
Habari wakuu ndani ya JF,

Nina mpenzi wangu sijajua anatatzo gani? Tunataka tuwe na mtoto tatizo ikifika siku za uhakika za kushika mimba tunasex alafu baada ya siku tatu au nne tukijua mimba tayari unakuta anableed damu nzito kama siku mbili halafu no mimba tumejitahdi ila hakuna kitu.

Nishauri tatizo ni nini linalosabisha hiyo hali?
 
mtakuwa mnakosea jinsi ya kuhesabu siku tu but kama mkeo anatumia vidonge mwambie aache kwanza
 
Nafikiri thread yko sio mahala pake.

Nenda Jf Doctors.uko watakushauri kitaalamu mkuu
 
Vipe ushamuona Dok Year?
 
Shida sahihi sehemu sio sahihi nenda penye jukwaa lake au omba mods waipeleke huko hii thread yako.
 
Nenda kwa mtaalam wa magonjwa ya wanawake
 
Kwa kweli mimi ni mtaalamu wa logistics and transport, nashauri umuone daktari... nikiongea sana ntaharibu mkuu

Na kweli mkuu usiongee zaidi maana unaweza ukamfanyia logistic halafu ukamtransportia kwako huyo mpenzi wa watu.
 
Mkeo atakua na group O- wakati wewe una O+.
Watu wenye group O- wana resist sana magonjwa ivo group O- ina assume hata mimba ni kirusi na ivyo kulazimika kuitoa ndo ivo unaona damu.
 
Mkeo atakua na group O- wakati wewe una O+.
Watu wenye group O- wana resist sana magonjwa ivo group O- ina assume hata mimba ni kirusi na ivyo kulazimika kuitoa ndo ivo unaona damu.

Hapo utakua umebaka fani za watu mkuu
 
JARIBUNI KWENDA HOSPITAL MKAPIME BLOOD GROUPS KAMA MWANAMKE ANA RHEUSUS NEGATIVE OF ANY BLOOD GROUP AKIPATA UJAUZITO FROM A MAN WITH RHEUSUS POSITIVE OF ANY BLOD GROUP HICHO KITU LAZIMA KITOKEE ILA KAMA RHEUSUS GROUP YAKE IKO NEGATIVE LAZIMA ATAKUA ALISHA WAHI KUPATA ANTIGEN KUTOKA RHEUSUS POSITIVE KUPITIA EITHER MIMBA AU BLOOD TRANSFUSION .....nendeni hospital dr. Atawadirect maabara kupima magroup yenu ya damu na ikiwa hivyo kuna sindano ataandikiwa huyo mwanamke achomwe ili kusupress hizo antibodies ambazo alikua katengeneza against Rheusus positive antigen na ataendelea kuzaa kama kawaida ISSUE NI GHARAMA YA HIZO prophylaxis dose kidogo ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…