Msaada: Mipaka ya kisheria kati ya Chama cha w/kazi na Mwajiri

Msaada: Mipaka ya kisheria kati ya Chama cha w/kazi na Mwajiri

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,097
1. Habarini za majukumu;
Ninaomba kujua mipaka ya utendaji kazi kati ya Chama cha wafanyakazi na Mwajiri mahala pa kazi

2. Je,ni halali kisheria mikutano ya chama cha wafanyakazi kuhudhuriwa na mwajiri ikiwa wafanyakazi wanajadili mambo yao ili kumpelekea mwajiri?????

3. Je,anayo haki ya kuzuia chama kuitisha mkutano wa wanachama wake ili kuwapa taarifa????

Plz ,,,,,ninahitaji msaada huo haraka na ikiwezekana na vifungu vya kisheria.
NAWASILISHA
 
Soma section 59 HADI 64 nafikiri ya EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS ACT OF 2004
 
Back
Top Bottom