MSAADA: Mirathi ikiwa wamebaki wajukuu tu

Mimi sina shida na mali ya wazee wangu lakini najua kuwa mali za wazee inabidi wapewe wenye uwezo wa kuziendeleza(siyo uwezo wa kielimu bali fedha). Kuna watu hawatakiwi kupewa ijapokuwa wana haki ninajitafutia maisha lakini hata nikifa mali zangu nitawarithisha watoto wangu kadri ya uwezo wao. Siwezi kumpa mtoto ambaye hajawahi hata kujenga choo ghorofa, mtoto hajui hata tabu ya kugombana na mafundi na gharama za ujenzi. Utakuja kuamka huko kuzimu ndani ya miezi michache vitu vinauzwa vyote. Kama mzazi hajaacha wosia nashauri busara itumike waachiwe wenye uwezo wa kifedha waziendeleze ukipata gawio lako wekeza. Usijifanye kimbele mbele ili uonekane utangukia pua vibayya sana.

Hapa tunaongelea MIRATHI mkuu
Kwamba mwenye mali kafariki na kisheria wanarithi watoto

Nakuuliza kama Baba alikua na makampuni na mdogo wako alifanikiwa kuanzisha kampuni zake zikafanikiwa lakini wewe ukawa mwalimu mpintimbi primary school

Utapoteza haki zako kwasababu mdogo wako anahela na makampuni wakati wewe unahangaika na mikopo ya kausha damu kila mwezi

Usichanganye HAKI na uwezo wa kuendesha
Hakuna sheria inayosema mtu asipewe haki yake kisa ni masikini
 
Kibaki ana mke mmoja na watoto watano na sio mlimaji sana akawa yeye na watoto wake analima kama ekari 30,
Kaputi ambaye ana wake wawili na watoto 15 akawa analima sehemu kubwa ya shamba kama ekari 70

Watoto wa Kaputi wanadai ekari 70 ni mali yao wajukuu 15 na iliobaki ekari 30 ni watoto wa Kibaki, yaani ibaki kama ilivyokua mazoe kulima
Hili ni wazo zuri ukizingatia hakuna wosia wowote wa maandishi
Watoto wa Kibaki nao wanadai shamba ligawanywe katika kwakuwa babu yao Bingili alikua na watoto wawili tu hivyo shamba ligawanywe kwa muktadha wa Kibaki nusu na Kaputi nusu
Watoto wa kibaki nyie ndo mtaleta balaa 😃, kubalini mpate hizo heka 6@ waachieni hao 15 wagawane heka 4@
 
Mimi sina shida na mali ya wazee wangu lakini najua kuwa mali za wazee inabidi wapewe wenye uwezo wa kuziendeleza(siyo uwezo wa kielimu bali fedha). Kuna watu hawatakiwi kupewa ijapokuwa wana haki ninajitafutia maisha lakini hata nikifa mali zangu nitawarithisha watoto wangu kadri ya uwezo wao. Siwezi kumpa mtoto ambaye hajawahi hata kujenga choo ghorofa, mtoto hajui hata tabu ya kugombana na mafundi na gharama za ujenzi. Utakuja kuamka huko kuzimu ndani ya miezi michache vitu vinauzwa vyote. Kama mzazi hajaacha wosia nashauri busara itumike waachiwe wenye uwezo wa kifedha waziendeleze ukipata gawio lako wekeza. Usijifanye kimbele mbele ili uonekane utangukia pua vibayya sana.

Sheria ni sheria

Hakuna sheria ya mirathi inayo mkandamiza masikini na kumpa favor tajiri

Wewe ukifa yatakayobakia huku nyuma HAYAKUHUSU
Kama unataka kabla hujafa gawa kabisa mali zako kwa warithi wako....... na ukifa iwapo utakua umegawa kwa uonevu mkubwa mahakama itatengua na kugawa kwa usawa

Mkiachiwa labda kampuni kama let say Vodacom na warithi mpo 5
Wengine wanahela wengine masikini, kwanza mtakaa chini na kukubaliana mgao ni gawa kwa 5
Halafu mtakubaliana muuze kampuni mgawane au muiendeleze
Mkiuza na kugawana hata ikiwa ni teja atapata 1/5 yake na mwenye hela atapata 1/5 yake

Mkiamua kuiendeleza mtakua mnagawana faida kulingana na biashara na watakao kuwa wanasimamia shughuli kila siku watapa mshahara pia

Haki haigawanyi kwa mali zako jombaa
 
Ila nakuhakikishia ndugu Bingili mkikubali mali iuzwe Kisha igawanywe kwa wajukuu 20 sawa kwa sawa nyie mliokua watano lazima mpunjike pakubwa

Heka 100 x 2,000,000/=@ =200m
Sasa chukua hiyo 200m gawanya kwa wajukuu 20 kila mmoja apate 10m

Kumbuka mngekubali mgao wa shamba mngepata heka 6@ na hao 15 wangepata heka 4@

Sasa chukua 10m/ heka 6
Kisha chukua 10m/heka 4

Mliotakiwa kupata heka 6 mtakua mmedhulumika pakubwa sana 😃😃
 
Nyie ndo mnasababisha watu wadhulumiwe shida ni kitafuta vyao AU MIRADHI ZA WAZAZI WAO?yaani uache Mali kisa unasema unataka utafute zako?una uchizi?mo dewji Anglesea hivyo leo angekuwa hivyo?
mo wamekwambia kuna ukakasi kwenye mgawanyo wa mali zao?
Ni ushauri tu kulingana na uhalisia wa wengi kwenye mirathi.
 
Ila nakuhakikishia ndugu Bingili mkikubali mali iuzwe Kisha igawanywe kwa wajukuu 20 sawa kwa sawa nyie mliokua watano lazima mpunjike pakubwa

Heka 100 x 2,000,000/=@ =200m
Sasa chukua hiyo 200m gawanya kwa wajukuu 20 kila mmoja apate 10m

Kumbuka mngekubali mgao wa shamba mngepata heka 6@ na hao 15 wangepata heka 4@

Sasa chukua 10m/ heka 6
Kisha chukua 10m/heka 4

Mliotakiwa kupata heka 6 mtakua mmedhulumika pakubwa sana [emoji2][emoji2]

Mkuu kwa ujumla wote tunakubaliana shamba lisiuzwe bali ligawanywe kwasababu kwa sehemu kubwa wakubwa zangu pande zote mbili wanapata riziki kwa kulima kupitia mashamba hayo
Ila mahakama inaweza kuamua itakavyoona kama tutafika huko

Mimi nilikuwa nataka tu kupata mwanga ndio maana nikaleta hapa jukwaani

So hoja yetu ya kugawa shamba kwa minajili ya watoto wawili inaweza kukosa mashiko kisheria mkuu?

Sisi pia tuliona kwamba kama mahakama itaamua kugawa shamba sawa kwa wajukuu wote bado itakuwa kama mzani umelalia kwao maana wao wako wengi.

Kama utaratibu utakua ni kugawa kwa wajukuu wote hatunabudi kukubaliana na utaratibu huo ambao utakua ndio huo tulio ukataa wa wao kuchukua 70 sis 30.

Unajua sheria na kudhania ni tofauti sana.
 
Mkuu kwa ujumla wote tunakubaliana shamba lisiuzwe bali ligawanywe kwasababu kwa sehemu kubwa wakubwa zangu pande zote mbili wanapata riziki kwa kulima kupitia mashamba hayo
Ila mahakama inaweza kuamua itakavyoona kama tutafika huko

Mimi nilikua nataka tu kupata mwanga ndio maana nikaleta hapa jukwaani

So hoja yetu ya kugawa shamba kwa minajiri ya watoto wawili inaweza kukosa mashiko kisheria mkuu?

Sisi pia tuliona kwamba kama mahakama itaamua kugawa shamba sawa kwa wajukuu wote bado itakua kama mzani umelalia kwao maana wao wako wengi

Kama utaratibu utakua ni kugawa kwa wajukuu wote hatunabudi kukubaliana na utaratibu huo ambao utakua ndio huo tulio ukataa wa wao kuchukua 70 sis 30

Unajua sheria na kudhania ni tofauti sana
 
Hapa tunaongelea MIRATHI mkuu
Kwamba mwenye mali kafariki na kisheria wanarithi watoto

Nakuuliza kama Baba alikua na makampuni na mdogo wako alifanikiwa kuanzisha kampuni zake zikafanikiwa lakini wewe ukawa mwalimu mpintimbi primary school

Utapoteza haki zako kwasababu mdogo wako anahela na makampuni wakati wewe unahangaika na mikopo ya kausha damu kila mwezi

Usichanganye HAKI na uwezo wa kuendesha
Hakuna sheria inayosema mtu asipewe haki yake kisa ni masikini
Ishi sio haki, haki najua unayo lakini uwezo huna. Bora mkubaliane mwenye uwezo azisimamie upewe gawio.
 
Ukiwa na haki yako ya mali ya urithi HAKUNA anayeweza kukupangia uifanyeje

Hiyo unayoita “uwezo” ni dhana yako tu mkuu, uwezo ni nini kwenye mali yangu ya urithi? Kwani ni lazima niendeleze mali ya urithi? Huo ulazima umeutoa wapi?
Hata nikiamua kulewa na kuhonga zote si ni mali zangu?
 
Ukiwa na haki yako ya mali ya urithi HAKUNA anayeweza kukupangia uifanyeje

Hiyo unayoita “uwezo” ni dhana yako tu mkuu, uwezo ni nini kwenye mali yangu ya urithi? Kwani ni lazima niendeleze? Hata nikiamua kulewa na kuhonga zote si ni mali zangu?
Unasema mali zako ulizitafuta ? Kuna mengi yamejificha katika mali za mtu ? Kila la heri mimi nilikuwa nakupa ushauri kutokana na niliyoshuhudia katika maisha yangu. Maisha ni zawadi uliyopewa na Mungu, sio lazima uchukue ushauri wangu ishi unavyotaka wewe.
 
Mkuu unaingiza emotional kwenye issue za kisheria

Mali kuwa zako sio lazima uzitafute wewe..... kuna haki ya mali ya URITHI
Ni mali yako halali kabisa

Kuna ndugu yangu baba yao alikufa na alikua na mali nyingi na alikua na watoto watatu, wakike mkubwa na wakiume wawili hawapatani kabisa

Aliacha nyumba, kampuni mashamba na mifugo
Baada ya mshua kufariki dogo akataka mali zigawanywe na kila mtu apewe chake Mahakama ikaridhia sababu ni haki yake.
Kampuni ikathaminishwa kisha thamani ikagawanywa mara tatu na dogo akapewa fungu lake huku kaka na dada yake wakakubaliana kuendelea na kampuni bila dogo

Mashamba, nyumba, mifugo na assets zingine zigawanywa sawa kwa kila mmoja

Dogo kalewea zote nyumba kauza saa hii kawa dalali wa viwanja tu wakati wenzake wanaendelea na kampuni fresh na majumba yao

Hii inamaana HAKI yako haipangiwi namna ya kuitumia
Ukimpangia mrithi namna unayotaka nje ya matakwa yake anakuburuza mahakamani na anapewa haki yake akaichezee anavyotaka
 
Namuonea huruma huyu kijana, mwishoni nimemwachia achague maisha anayoyataka.
 
Back
Top Bottom