mdau mpya
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 474
- 651
Kwanza nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania.
Nina ndugu yangu yuko nje ya nchi alikuwa akifanya kazi sasa ameomba kazi hapa Tanzania kwenye moja ya vyuo vikuu maana ni PhD holder. Na pia Alipata kazi South Africa japo yeye anapendelea kurudi nyumbani. Sasa anapenda kujua mishahara ya vyuo vikuu kufundisha imekaaje mfano PUTS 3 au 4.
Mwenye kujua msaada mtanzania mwenzetu afanye uamuzi wa maana.
Asante