Wanasakrifai maisha yao kwa ajili ya Tanzania....πKuna watu wana mapenzi na nchi yao jamani! Duh
Yaani nakereka tuWanasakifai maisha yao kwa ajili ya Tanzania....π
Huko nje ana kazi?Yaani nakereka tu
Huko nje ana kazi?Yaani nakereka tu
Hadi yu wishi yu kudu be....Yaani nakereka tu
PhD ya nn? Usikute alisomea Archaeology?Kwanza nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania.
Nina ndugu yangu yuko nje ya nchi alikuwa akifanya kazi sasa ameomba kazi hapa Tanzania kwenye moja ya vyuo vikuu maana ni PhD holder. Na pia Alipata kazi South Africa japo yeye anapendelea kurudi nyumbani. Sasa anapenda kujua mishahara ya vyuo vikuu kufundisha imekaaje mfano PUTS 3 au 4.
Mwenye kujua msaada mtanzania mwenzetu afanye uamuzi wa maana.
Asante
Shukrani mkuu. Take away hapa ni kuwa kwa PhD holder at least atapata 3.5m per month. Nadhani alipenda afanye maamuzi pia kwa kuzingatia mshahara na mambo mengine.Mshahara wake sidhani kama unavuka net ya 3.5m ila kwa mtu ambaye anaingia huko vyuoni sio tu suala la mshahara, anabidi aangalie uwezekano wa kukua professionalyl na academically. Kwa uelewa wangu mdogo PhD holder ana majukumu matatu akiajiriwa chuoni ambayo ni research, consultancy, teaching.
Ajiulize kati ya huko Afrika ya Kusini na Tanzania
- Ni wapi pana fursa kubwa ya kufanya tafiti (kwamba atapata research funds, na connections kwenye field yake kiurahisi) ?
- Ni wapi kuna uwezekano wa kupata consultancy projects kubwa na kujijenga jina lake ?
- Ni wapi pana uwezekano wa kupata support pale anapotaka kufanya machapisho (publishing) ya matokeo ya tafiti zake.
- Ni wapi pana masharti rahisi zaidi kupanda ngazi kutoka pale alipoajiriwa.
- Ni wapi kuna teaching workload yenye unafuu ili aweze kufanya mambo ya personal growth.
Maisha ya academics yanahitaji ujanja sana wa maisha kutegemea mshahara peke yake kama kigezo cha wapi afanye kazi inaweza kuwa si jambo sahihi.
Kurudi bongo Ni sawa na kuamua kufanya biashara ya kuuza utumbo sokoni. Nzi hawaepukiki.Shukrani mkuu. Take away hapa ni kuwa kwa PhD holder at least atapata 3.5m per month. Nadhani alipenda afanye maamuzi pia kwa kuzingatia mshahara na mambo mengine.
ππππMwambie anipe connection ya huko anapotoka
ππIGP..Oops sorry..lecturer,Prof...ohh DkHadi yu wishi yu kudu be....