Msaada: Mishahara vyuo vikuu Tanzania

Tuanzie kwanza kwenye ufaulu wake GPA

isije kuwa tunajadili kumbe degree ya kwanza na GPA Ya 2.5 Hata akiwa Prof hawezi kuwa Lecturer wa chuo,

Ukwa kuwa kufika phd si kigezo cha kuwa na sifa za kuwa mwalm wa chuo kikuu.

Pili kama sijasoma vibaya umesema amepata kazi ya kufundisha chuo hapa bongo, sasa kama amepata kazi,barua yake haijaonesha ataanza na sh???

Pi Phd holder hawezi,kupata kiwango cha mshahara mpaka ategemee JF kupata data halisi.

Labda kama uzi,sijaelewa vzr nisamehe bure.

Lakini mishahara nahis inatofautiana kutegemeana na muda wa kufanya kazi.
 
Nina Ndugu South Kule wako vizuri mno, kama yuko home sick, then ajiandae na four Milioni hivyo tu ashiriki ujenzi nchi ya Samia
 
Huko south wasingeweza mpokea na hiyo 2.5 GPA mana ni chuo pia. Hapa bongo actually hajapata amepata south so anapiga hesabu kama akubali au asubiri kutafuta bongo. Yeye target arudi nyumbani. So uamuzi unategemea na trade-off ya mambo mengi ikiwepo hii ya green pasture.
 
Acha Matusi Archaelogy hio fani ni ya watu makini sana sana heshimu wengine uheshimike
Ndo haya ya darasa la saba wanapiga kelele bungeni kuwa maprofesa hamna kitu. Yani wako tayari hata tufute haya mambo ya kusoma watu waishi tu mambulula.
 
Lakini inashangaza pia, Kama PhD holder hawezi kupata taarifa za uhakika toka reliable sources anazotaka kuajiriwa, Hadi aulize humu jf? Hana access na information centers, hana marafiki vyuoni, hata Kama kaka zake nje? Haji likizo na kutafuta connections?
 
Pumbavu..nyau mkubwa we! Baadhi ya watu wanapata PhD hovyo kabisa. Iwe ni ndugu yako au wewe mwenyewe ndiye unaeuliza na kumsingizia ndugu yako.

Umashindwa kufanya utafiti na badala yake unakuja kuulizia hapa?

Chefuuuu!!!
 
Pumbavu..nyau mkubwa we! Baadhi ya watu wanapata PhD hovyo kabisa. Iwe ni ndugu yako au wewe mwenyewe ndiye unaeuliza na kumsingizia ndugu yako.

Umashindwa kufanya utafiti na badala yake unakuja kuulizia hapa?

Chefuuuu!!!
Acha ushoga. Sasa utafiti ufanyikie wapi. Mbona suala la mshahara unaona kama ni big deal. Kuuliza JF kuna tofauti gani na kuuliza mtu wa mtaani. Nenda muulize mtanzania yeyote mshahara wako sh ngapi akikwambia basi ujue sio sahihi.
 
Hana lolote! PhD holder anaulizia ngazi ya mshahara mitandaoni!!!!!!!!
Tulia mat**ko wewe. Ulitaka aulizie kwa bibi yako. Infact ni mimi ndo nauliza mana mi pia nimeshangaa kuona anarudi Tz na ameacha kwenda south Africa nilitaka why ama amechanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…