Msaada: Mishahara vyuo vikuu Tanzania

Upo sahihi kabisa, kibongo unaweza kubaki kuwa academician tu wa kufundisha, simply because nchi yenyewe hai value research kabisa hadi uwe na connections na huko nje ya nchi au wale maprofessa ambao tayari wanazo connection za kutosha.....
 
Na mimi nimepata ka PhD kangu hivi karibuni, mwenye uelewa wa nafasi kwenye universities hasa kwenye nchi zetu za kiafrika aweke connections angalau tuweze kukwepa majungu, unafiki na kukatishana tamaa home, bila kusahau ulozi.
 
Upo sahihi kabisa, kibongo unaweza kubaki kuwa academician tu wa kufundisha, simply because nchi yenyewe hai value research kabisa hadi uwe na connections na huko nje ya nchi au wale maprofessa ambao tayari wanazo connection za kutosha.....
Kuna walimu wangu wa chuo niliwahi kuongea nao, niliwaona wana stress za maisha wakati kichwani mwangu nilikua najua jamaa ndio vipanga wakishakuwa na PhD. wanakuwa wameshatoboa kimaisha. Kumbe ni wachache sana wanaotoboa, ishu ni mpaka uwe na connection za research na project za maana n kwa vyuo vyetu zimeshikiliwa na "wakongwe" wanaowazibia vijana hizo nafasi.
 
Zamani kidogo (mwaka 2015) nilikuwa na rafiki yangu ambaye alikuwa Associate Professor pale SUA alikuwa akilalamika kuwa anapata net ya TSh 4m kabla ya PAYE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…