Jamani suala la mshahara linategemeana na makubaliano kati ya mwajiliwa na mwajili. Kwahiyo we tafuta nafas ya kazi ukipata, nenda karipoti utapewa mkataba utaangalia kama mshahara unakutosha poa.
Kwa facult nyingine wanamwongozo maalumu TGTS ila privates hulipa kwa makubaliano kama nilivyodadavua hapo juu.