msaada mishahara ya watu wa procurement

msaada mishahara ya watu wa procurement

Durable

Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
30
Reaction score
3
ndgu zangu naomba msaada kujua wafanyakaz wa maswala ya procurement wanavyolipwa mishahara yao iwe private au govenment..
 
Inategemea unafanyia kazi kampuni gani/industry hipi na pia inategemea upo kwenye level ipo...
 
Jamani suala la mshahara linategemeana na makubaliano kati ya mwajiliwa na mwajili. Kwahiyo we tafuta nafas ya kazi ukipata, nenda karipoti utapewa mkataba utaangalia kama mshahara unakutosha poa.
Kwa facult nyingine wanamwongozo maalumu TGTS ila privates hulipa kwa makubaliano kama nilivyodadavua hapo juu.
 
Back
Top Bottom