Wakuu naombeni msaada gari tajwa hapo juu mistubishi rosa 4d34 ina tubo, inachemsha vibaya, nimebadilisha kila kitu unachokijua wewe mpaka nikaambiwa nibadilishe cilinder head nikabadilisha, na sasa imeengeza tatizo imekuwa nzito, rejeter nimesafisha, feni nimebadilisha, na sasa hivi nimeambiwa nibadilishe rejeter niweke ya njia nne.
Yangu ya mwanzo ni njia mbili, pia hiyo gari inapoendeshwa joto likizidi taa y check engine inawaka na baadae gari inajizima, inabidi ukae kama dakika hivi ukiiwasha inawaka, kwa kweli nishapoteza pesa nyingi naomba msaada mkubwa kwani nihoi wakuu, mpaka wengine sasa hivi wanasema engine imechoka so niibadilishe.
Je, wakuu nipo njia panda naomba msaada wenu shukrani.