Msaada misuli ya mdomo inanisumbua sana

Msaada misuli ya mdomo inanisumbua sana

TINDIX

Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
26
Reaction score
7
Mnamo mwezi wa 6 mwishoni nilitumia dawa ya kusafishia kinywa mouth wash menthly peroxide!! Ni ilie tu nimeweka kinywani misuli ya kinywa katikati ya meno ikaanza kukakamaa! Meno na fizi misuli kule ndani inavutana hadi meno naona km hayapo sehemu sahihi yamegandamana hata tooth pick hapiti!!

Mishipa yote ya kichwa usawa wa nyusi,masikio imebana na nikigusa tu nyusi au meno ya chini mishipa yote ya kichwa!! inacheza nimekunywa dawaza neuro support na za misuli lakini bado!!

Kwa ANAE JUA TATIZO HILI WAPI NTAPATA MATIBABU ANISAIDIE AU KM KUNA DAKTARI HUMU ANISAIDIE !! MIMI NAISHI DAR!!! MAANA NIMEKWENDA HADI KWA DENTIST KANIKAGUA KAWAIDA TU AKASEMA YEYE HAONI KAMA HILI TATIZO NI LA MENO ILA LILIANZA NI BAADA YA KUSUKUTUA HIYO DAWA
 
Ungekuwa arusha ningekushauri uende ithina asher ipo mkabala na wanapo uza magari cmc atomobile mobile au njia ya kutokea hiace kilombero zinazoenda njiro umuulizie dokta diran anahusika na meno
 
Back
Top Bottom