MSAADA: Mjamzito kusumbuliwa na gesi na tumbo kukaza sana.

Ni kawaida kunywa chai yenye tangawizi inasaidia
 
Papai na nanasi wanasema sio matunda mazuri kwa mama mjamzito. ndizi ni nzuri zaidi badala ya papai na inasaidia sana kupata choo kirahisi na kuondoa gasi.
Mjamzito akila japo ndizi mbivu mbili kwa siku pia anajiwekea kinga na magonjwa ya moyo na haswa pressure ambayo ni hatari kwake na mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…