Msaada: Mjomba anatatizo la kupata choo

Akafanye x-ray ya tumbo na ultrasound ya abdominal-pelvis kwanza halafu lete picha hapa nikusaidie na ripoti ya ultrasound. Lakini pia mwili haumuwashi? muulize
Msaada plse
 
Napata raha sana haya maelezo,watu mko vizuri sana na fani zenu
 
Msaidie atumie shake off imemsaidia sana ndugu yangu alihangaika sana lakini hii kitu ilimtoa sana mkuu

Mtafute 0692948695alitupa msaada sana
 
Vipi mgonjwa wako alipata matibabu!! Je anaendeleaje
 
Sangasanga ndo kiboko. 0699254400
 
Anayefahamu anisaidie
Tafuta periwrinkle plant (ingia google) lenye maua ya pink chemsha mizizi yake anywe kikombe cha robo kila siku asubuhi yaani tumbo likiwa tupu. Atasahau hiyo shida aliyonayo
 
Ndiyo! Tumbo kuwaka moto, mate kuwa machungu, mkojo kuwa wa langi na unaunguza wakati akojoapo, gesi tumboni, nguvu za kiiume zimepungua.
Huyo ni wewe mwenyewe. Siyo ndugu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…