Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Atumie sana tende na maziwa fresh na mboga ya matembere asitie nazi wa mafuta
matembere. Juice ya Rozela, Fruto ya Ribena, pia kuna dawa ya kuongeza Damu inauzwa kwenye Maduka ya Dawa.
Mnunulie Mkewako, na pia uwe unamsimamia Azingatie kunywa maana wakina mama wenye ali hiyo wanahitaji kuangaliwa sana.
Maana wengi wao hawanywi ukiwapa kisogo, hivyo ni vyema ukawa karibu nae azingatie kunywa.
Nashukuru mno kwa ushaur
Looh, fanya haraka uhakikishe anapata hizo mboga na juice kwa kiasi kikubwa kabla hajajifungua, hakikisha madaktari wanajiridhisha, nakumbuka mwaka 2007 nilimpoteza my aunt kwa sababu hiyo, alijifungua baada ya siku 8 akafariki na kuacha kichanga, kwa kukosa damu..was painfull to us na tulipata mengi ya kujifunza!!
mbaya kweli ila ni nzuri sana ukitaka pia kujipima kama una maradhi unatakiwa unywe ile fresh ukikojoa damu ujue una shidaBeetroot mwisho wa matatizo....
Aivumilie ilivyo mbaya
Atengeneze juice fresh anywe asubuhi mchana jioni usiku
Anywe kadri awezavyo
Hapana ile huwa si damu (unless iwe damu damu)mbaya kweli ila ni nzuri sana ukitaka pia kujipima kama una maradhi unatakiwa unywe ile fresh ukikojoa damu ujue una shida
sio ukojoe damu damu ukojoe mkojo wenye rangi ya damu i meanHapana ile huwa si damu (unless iwe damu damu)
Kawaida ukiila sana mfululizo lazima mkojo na haja hubadilika rangi.....
Beetroot contains flavonoids, which are responsible for its deep red pigment. This pigment can cause a pinkish tint in the urine, which can be mistaken for blood.sio ukojoe damu damu ukojoe mkojo wenye rangi ya damu i mean
mmmh aya bwana ila kilocal local huwa tunajipima kwa beetrootBeetroot contains flavonoids, which are responsible for its deep red pigment. This pigment can cause a pinkish tint in the urine, which can be mistaken for blood.