Msaada mke mjamzito na ana tatizo la kupungua kwa damu

Msaada mke mjamzito na ana tatizo la kupungua kwa damu

Beeroot kiswaihili chake ni kip? Nikienda kwa wauzaji na kuwaambia nahitaji beeroot watanielwa?
 
upload_2017-1-13_9-45-29.jpeg
upload_2017-1-13_9-45-29.jpeg

Mkuu kama unamaanisha hii ni beetroot hiyo beeroot sijui iko dunia ipi.
 
Mnunulie matunda yaitwayo beet roots yanapatikana kariakoo shimoni mara ya mwisho nilinunua kilo moja tsh 7000/= mwambie aoshe, amenye maganda vizuri halafu asage juisi yake mwambie achanganye na asali kidogo anywe kila siku. Atumie hiyo juisi siku saba tu. Anywe muda wote kama juisi nyiginezo ila isilale awe anakunywa ikiwa freshi itamsaidia sana
Haswaa... BEET ROOTS ni kiboko.
 
Back
Top Bottom