Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Haina shida bro! Ngoja mambo yatulie kwanza
 
Hata hivo nimetubu siwezi date tena Mke wa mtu...
 
Hata hivo nimetubu siwezi date tena Mke wa mtu...
Mkuu sisi wanaume tunajuana, kudate mke wa mtu watu wanafanya sana, ila kuna vigezo na masharti vya kuzingatiwa. Wewe nimekushangaa sana hapo kwenye kwenda kulala kwake hadi unacheza na watoto wa mwanaume mwenzako hapo nimeshangaa sana. au ndo ile kusema mapenzi upofu
 
Tena jamaa huyo mwenye mke ni boya sana. Alitakiwa amtegee ili amlawiti kabisa huyu dogo. Unaachake mkeo mwenye mtoto kiboya hivyo bila kushughulikia jamaa?
 
Kubali kwanza umefanya makosa Kwa kujua kwakuwa mwanzoni alishakumbia ni mke wa mtu lakini bado ukaendekeza hisia bila kujali maumivu anayoyapitia mwanaume mwenzio Kwa kumharibia ndoa yake Wala hata hukujali Hadi anakutumia huo ujumbe kwamaana mahusiano yenu yamefikia hadharani ushauri wangu ondoka kwenye maisha yake Anza maisha Yako upya ikiwezekaza usitafute kabisa
 
We ruka ruka tu, soon utajaa kwenye Flame.
 
Hiyo technic ya kununua zawadi ya simu na kumpa mtu wako ukiw umeifanyia maumyama naifanya sana, ila wamefika watatu baada ya kupokea simu za zawadi tuliachana week hiyo hiyo sbabu ya uzinzi unaofanyika kwa kutumia simu yangu.
 
Mambo mengine wanaume huwa tunajisahau sana. Yaani ulitumia mpaka ATM yangu halafu bado ukaona wewe ni mjanja? Unakimbia nini sasa mwanamke nimekuachia unakimbia nini sasa wewe si ni kiume ambaye mpenzi wako ni mke wa mtu na ulijua tangu mwanzo? Mchukue mkaishi huko uliko wewe muendeleze Mapenzi.
 
Mungu anisamehe kaka.
 
Naamini Mungu atanisamamia. Inshallah
 
Tena jamaa huyo mwenye mke ni boya sana. Alitakiwa amtegee ili amlawiti kabisa huyu dogo. Unaachake mkeo mwenye mtoto kiboya hivyo bila kushughulikia jamaa?
Usiniombee mabaya namna hiyo. Sisi sote ni wanaume... Leo Kwangu kesho kwako...
 
Mkuu tumedumu kwenye mahusiano almost 4 years sasa. To be honest alikuwa kama Mke wangu tu. Four years nyingi sana... Na hapo kuna mambo sijataka kuyaweka hadharani.
Sijajua umeboronga ukiwa mkoa gani na unahamia mkoa upi, ila nawaza tu kuwa ingefaa uzamie nchi nyingine kabisa kama DRC, Zambia, nk, utulie na kuanza upya. Ufanye mishe huko hata miaka 10 bila kukanyaga Tz.

Kuhusu huyo mpenzi wako (mke wa mtu) kujaribu kumrudia ni sawa tu na kuvaa bomu, utajuta
 
Sometimes we meet right peoples in wrong destination. I assure you "kama angekuwa hajaolewa basi ningemuoa" she is a good woman.
I hope watayajenga na mmewe waishi happy than ever. Inshallah
Nakumbuka kipindi fulani, jamaa nilimuachia demu wangu (mke wangu mtarajiwa) sijui walioana, sijui.
Kuishi na mwanamke msaliti, haitaji moyo wa chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…