Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Ama kweli mtihani
mambo mengi duniani

BORA NIENJOY MAISHA MAFUPI NI SIMPLE
 
Hapo mkuu nunua mafuta parachute au minara ukae standby usipate michubuko mkuyenge ukiwa unaslide in.
 
Kazi kweli kweli. Wakati unamtongoza ulihitaji ushauli? Kimenuka,malalamiko unaleta hapa!
 
Una dharau mwanaume mwenzio unaenda mpaka kwake duh watu mna ushetani mbaya...Kama ni wewe ungejisikiaje sasa umevunja ndoa ya mtu.

katika hali zote wewe mtu mpumbavu na huyo jamaa anatakiwa akuachia huyo dada na wala hutadumu nae.
Ukioa mkeo atafanyiwa hayo hayo .
 
Kusamehe ni labda ashukiwe na roho mtakatifu- kisasi chake km siyo leo basi ni kesho au keshokutwa.......time will tell.
 
Hakuna ujinga kama kujisifu kuchukua mke wa mtu, bado huwajui wanawake hata robo, iko siku utajuta, hawa ni viumbe wasiotafsirika wala kutabirika.
 
Kusamehe ni labda ashukiwe na roho mtakatifu- kisasi chake km siyo leo basi ni kesho au keshokutwa.......time will tell.
yeye anadhani imeisha,hajui jamaa ana uchungu kiasi gani!wanaume wenzangu tuheshimiane maana kula mke wa mtu ni dharau kubwa na isiyovumilika kwa mwanaume!
 
Mi sioni tatizo hapo mbona, maana umesema huyo mwanamke unampenda na mtoto wake ni mcheshi, mwanamke aende mahakamani adai talaka akubali alikuwa anachepuka atapewa talaka fasta then mtaendeleza kupigana miti, sometime mke wa kuishi nae unakuta kaolewa sehemu nyingine, sasa Mungu anakuletea mke wako we unazima simu 😅😅
 
Punguza makasiriko mkuu. You forgive and forget
 
Kusamehe ni labda ashukiwe na roho mtakatifu- kisasi chake km siyo leo basi ni kesho au keshokutwa.......time will tell.
Sijui kama amenisamehe... But at least amemsamehe mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…