Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Umeshajua huyu ni mke wa mtu na bwana ake anakutafuta alafu unaendelea naye hiyo ni akili kweli
 
Umeshajua huyu ni mke wa mtu na bwana ake anakutafuta alafu unaendelea naye hiyo ni akili kweli
Huyu bwana ake naye chenga, anatakiwa a deal na mke wake . Huo ni udhaifu mkubwa, hata huyo mke ataendelea kugawa tu maana mwanaume hajielewi.
 
Nasoma huu uzi huku nikiwa na mpango wa kutafuna mke wa mtu. Mipango yote imeshafanyika kuanzia feasibility study. Ila nimeamua kughairi tu, sitaki.
 
Daah, oya umeshayakanyaga muoe tu kama vipi upendo wenu udumu zaidi usiwe wa wizi tena
 
Oyass hata mm kuna mazi nakula ila Ana mumewe ni mzeee wa 72 ivii miaka ila mazi mdogo ako na 28 years mnanishauri vip
 
Ushauri mzuri
 
Unataka usafiri wa kubeba bitu???bakee
 
Kwa Ushauri tu na Swali juu yako. Ungalikua wewe Ni mke wako anamtaka Mtu unafanyaje. Tafakari Chukua hatua…???!!🤔
 
Kama uliweza kwenda kulala kwenye kitanda chake chumbani kwake unaogopa nini kumchukua huyo mwanamke, hakunaga jela ya mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…