Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Acha kujiliza liza wakati wewe umeelezea kwa kina umalaya wenu mliokuwa mnaufanya.
Kwa taarifa yako, mwanamke akishatoka nje ya ndoa na akaja kuolewa na huyo mchepuko, muoaji ajiandae kisaikolojia maana atokaye nje haachi hadi akutane na vumbi.

Yaani jiandae na hiyo chemistry menu, utakuja kustuka too late
Tutapiga hatua, every general rule has an exception. Naamini huyu sio kama hawa
 
Sasa naelewa kwanini huyu jamaa haja mind kumla mkewe kavuta goma jingine 🤣😂alijua wameathirika na virusi vya ukimwi ndo maana haku mind akajua ameshakuunga na grid ya Taifa umekanyaga miwaya ya umeme 😂🤣akakuacha uhangaike ninao umenikumbusha wimbo wa Siza Masogera nibebeshe nibebeshe nibebeshe Ukimwi nihangaike nao haya kijana endelea kumeza ARV usiache epuka stress tumia condom epuka maambukizi mapya.
 
😂😂😂umefanya nimecheka kwa nguvu 😂😂😂yaani wewe😂😂😂
 
Dunia imejaa watu wa ajabu sana
unasema mlipendana sana jamaa amekuachia muendelee kupendana hutaki unataka nini sasa
toka lini mkapendana na mke wa mtu?
Kiufupi utakoma maumivu uliyomtengenezea mwanaume mwezio yatajibu soon.....
 
mungu atusamehe kaka
 
Kosa kubwa ambalo umefanya kama mtoto wa kiume kwenda kulala kitanda cha mwanaume mwenzako, kosa kubwa sana kulala chumba cha mwanaume hali ya kuwa anayelipia kodi humjui. Lolote lingeweza kukukuta humo ndani usije ukarudia tena kufanya hicho kitendo.
 
Hakika mkuu
 
Dunia imejaa watu wa ajabu sana
unasema mlipendana sana jamaa amekuachia muendelee kupendana hutaki unataka nini sasa
toka lini mkapendana na mke wa mtu?
Kiufupi utakoma maumivu uliyomtengenezea mwanaume mwezio yatajibu soon.....
Usiamini sana hadithi za JF mkuu.
 
Nimeamini hakuna mkamilifu, upo perfect kule kumbe huku unaboronga.
Nashangaa sana mnaamini watu humu JF. Unaweza kukuta huyo mleta uzi ji darasa la 7 au Form 1 anatumia Simu ya Shemeji yake kupiga sound humu JF na nyie mnamuamini na kuwa serious naye kabisa.
 
Ni kweli usemayo lakini utajuaje hii ni chai na hii siyo?
Jambo unaloshindwa kufanya wewe mwingine anaweza
Muhimu tunajadili kilichoandikwa bila kujali chochote ukweli anao yeye mwenyewe!
 
Back
Top Bottom