Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

jamaa alijua atasifiwa na wana, pyuuuuu ukaharibu familia ya mwenzio kisa nyege tu, watoto wa jamaaa watakuita wewe mama mbwa kabisa
 
jamaa alijua atasifiwa na wana, pyuuuuu ukaharibu familia ya mwenzio kisa nyege tu, watoto wa jamaaa watakuita wewe mama mbwa kabisa
Nilikuja kutafuta ushauri sio matusi, Mungu akusamehe najua kuwa nimekosea na sikutegemea sifa.
 
Huyu MUngu unaemtaja bila sababu ni yupi, Mungu wa mbinguni asingekufanya ufanye uzinzi in the first place. Achana na mungu wetu we nenda kaabudu miungu wako wengine.
Mganga yupo kwa ajili ya wagonjwa.
Mungu yupo kwa ajili ya wenyedhambi sio wewe mtakatifu. Mungu akusamehe. Akhsante kwa matusi yako.
 
jamaa alijua atasifiwa na wana, pyuuuuu ukaharibu familia ya mwenzio kisa nyege tu, watoto wa jamaaa watakuita wewe mama mbwa kabisa

Hyo pyuuuu ndo inamaana gani? Mwanaume kabisaaa na pyuuuu? Au umeleft group?
 
Amini kwamba haijaisha mpaka iishe,Jamaa ataendelea kukutafuta na possibly atakufanya mbaya...Msaidie huyo dada apate Talaka ili apate japo vi mali kdgo...Usijichanganye ukaanza kuishi nae mapema hv issue bado ya moto aseee utapakiwa mkongo hutaamini
 
akhsante kwa ushauri mkuu.
 
simu hiyo alikuwa ameihack achilia mbali normal sms and calls, hata chatting za WhatsApp alikuwa anaziona na kuzisoma. Jambo hili lilinishitua sana maana nilijua atakuwa amenasa pia picture zangu tunazotumiana na mkewe hivyo kudakwa ni suala la muda tu.
Hadi hapo nakushauri jiandae tu kuwa mke wa pili ya Baba Jay....hataakuacha na malinda kwa hakika!
 
Oooops Dah sijui jamaa yuko kwenye hali gani jamani jamani jamani mke anauma sana mwanangu UMEZINGUA SIO KIDOGO aaaargh mi ningekusaka mzee TUMALIZANE SIO KIZEMBE TU IVO
 
Oooops Dah sijui jamaa yuko kwenye hali gani jamani jamani jamani mke anauma sana mwanangu UMEZINGUA SIO KIDOGO aaaargh mi ningekusaka mzee TUMALIZANE SIO KIZEMBE TU IVO
Kisasi bora zaidi ni msamaha.
 
Kuna watu wanatafuta kifo kwa nguvu sijui kwanini
 
Nilipousoma huu uzi Kwa mara ya kwanza nilimlaumu mleta mada kama wengi wetu walivyofanya. Lakini leo nimetafakari nimeiona kuwa huyo mwanamke nea pia ana makosaa na amestahili hayo anayoyapitia. Mwanamke anaejitambua hawezi kumsaliti mumewe mpaka kumpa mchepuko access ya account ya mume wake. Imeandikwa "mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake Kwa mikono yake mwenyewe". Hata kama ndoa yao Ulikuwa na changamoto njia aliyotumia kusolve ilikuwa sio njia sahihi na sasa majuto ni mjukuu.
 
Back
Top Bottom