Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda.
Sema mwenye udhaifu, ni sahihi zaidi. Na sio kupenda bali kutamani.
Haiingii akilini, Huo ujasiri wa kutembea na mke wa mtu unatoka wapi?
.
 
Kivyovyote vile huyo jamaa hatokuacha salama.. kiufupi jiandae kuliwa jicho
Bora aliwe jicho abaki hai.

Leo kwenye mishemishe zangu nimekutana na jamaa kituo kidogo cha polisi kafungwa bandeji kubwa upande mmoja wa uso wake, damu zinamchuruzika ni bandeji la kienyeji kafungwa na mtu hata asie mtaalamu sa mambo hayo.

Alipokaa ni damu tu, t-shirt imeloa damu zake tupu.
Kuuliza sababu unaambiwa jamaa alikua anakula mke wa mtu, mwenye mke kamuonya akamuona boya, leo asubuhi kaokotwa uso hautamaniki.

Mbaya zaidi hata hela ya hosp hana, alipo kila mtu anakimbia kumsaidia.

Guys achaneni na wake za watu hao, watu wana stress, mtu akikanyagwa kidogo tu kwenye daladala anakutukana mitusi ya nguoni. Ndo uje umgongee mkewe.


Ila hii story unaweza kua chai pia.
 
Mi binafsi nimetubu kaka siwezi rudia tena.
 
Mi binafsi nimetubu kaka siwezi rudia tena.
Subiri hukumu kijana.
Kwa ninavyoona hukumu kwako ni unkwepabo maana huyo dem hana pa kwenda, wewe ndo ulikua unamdanganya unampenda kumbe ulitaka kamserereko ka kulala na kula bure kwa jamaa.

Wenzio huchapa wake za watu kwa chapa ilale, hawaoi.
 
Usalama wako upo hatarini ,ushauri acha wake za watu Kuanzia sasa na uoe wa kwako ili kuepuka kifo cha aibu kwa kuoigwa binduki auboanga
 
We ulitakiwa ufirw..e kabisa sema huyo jamaa mstaarabu tu
 
Andaa TIGO

Ilainishe kabisa ina user department wanaihitaji
 
umerudisha card yake kwanza?
anyway muoshwa huoshwa ,ukila vya wenzio nawe utaliwa ... relax subiri kuliwa kiboga hapo mzee cha muhimu kisafishe kwaajili ya jombiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…