Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Yan unajiachia na mke wa mtu hadi unalala kitandan alicholala na mme wake?hizo ni dharau kabisa...hata kama ni kuchepuka mke wa mtu c kwa viwango hivyo ulivyofikia....anapatikana wapi nimpelekee mayai viza?
 
Story zenu za kutunga mnaumizavwatu vichwa.....tungejikita mashambani huko Narco wana hektas hazina kazi twendeni tukafuge ngombe tuuze huko.....au maziwa
 
Aisee upo hatarini sana, usikute huyo mama j kaminywa na mme wake wanakuwekea mtego uliwe vizuri...kama amemsaliti huyo mme wake bila shinikizo akiminywa kidogo anakusaliti tu na wewe🐼
 
Jiandae kuliwa' kiboga sasa na wenye mke wao alafu mkishaliwa kiboga na Mob hua mnakimbilia kujinyonga kuficha aibu maana mnakua mmesharekodiwa video clip na muda wowote inavujishwa
 
Mwanaume mzima huna akili, unafanya maamuzi ya kijinga kuendeshwa na hisia kama huyo mwanamke wako Malaya..
Jinga kabisa wewe..mke wa mtu na watoto wawili na ukaona Sawa kabisa.Haya mchukue tahira mwenzako sasa mkaishi siyo kujidai sasa hivi ndiyo unaona akili inakurudia.
Wakuzamishwa chupa kabisa wewe.
 
Aisee upo hatarini sana, usikute huyo mama j kaminywa na mme wake wanakuwekea mtego uliwe vizuri...kama amemsaliti huyo mme wake bila shinikizo akiminywa kidogo anakusaliti tu na wewe🐼
Kiboga kinaenda kuliwa' na kundi la Wanaume mwambie asisahau kutembea na mafuta hata ya mawese
 
Wewe ni kijana mpumbavu.
 
Mkuu kwa sasa matusi hayasaidii. We nishauri nifanye nini ili kunusuru ndoa yake. Pia na Mimi niwe na amani.
Huwezi kuwa na amani hapo, ndoa yake imeisha, huenda anasubiri hali itulie ili na wewe upate unachostahili.
 
Nawaonea huruma sana watoto wawili walioachwa kwa Mama wa Kambo, wanenda kuteseka kwa ajili ya Umarioo wa Kijana wa Ovyo. Mke wa mtu usiguse jamani ni kifo!
 
Ukimuacha huyo mwanamke , ndiyo utazidi kuharibu mambo zaidi , bora umchukue uishi naye,

Kuna aina ya matatizo ili huya solve inabidi huya kubali

Aina hiyo ya matatizo ndiyo Kama hili la kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…