Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Unataka tukushauri usenge wako? Ulimtaka, mjuba kakuachia bila hata kumtia shurba mwilini wataka nini kingine?
 
Mshukuru Sana huyo mwanaume kwa utu na uvumilivu wake kwako maana angekuwa mwingine angekuuwa au hata kukufanya kitu mbaya

Inaonekana alikufatilia kitambo Sana na akajua Kila kitu Ila kwa mapenz mema na ubinadam akaona akuache na ujinga wako Sasa pambana na Hali yako jarbu kufanya namna nzur upate suruhu Ila ukiamua kumkimbia huyo mwanamke utakuwa umetafuta matatzo makubwa Sana
 
Mkuu. Samahani naomba ujaribu kuvaa uhusika wangu... Kesho jumapili yaani... Dah! Sijui hata itaishaje siku ya kesho. Sina amani, duh. Kama una ushauri wa kueleweka nipe tu
Why unawaza tuvae uhusika wako!? Sisi tunavaa uhusika wa yule uliyemtombea mke wake, ilhali unasema pia huna mpango wa kuoa leo wala kesho,!?
 
Kama huna mpango wa kuoa basi ondoa mpango wa kutomba wake za watu,….chukua jamaa kashakuachia.
Unajua umepoteza ramani za watu wangapi hapo maishani.
1.Mwanamke kujutia kwa kuwa utamuacha
2.Watoto kuishi bila ya mama
3.Mwanaume, umemvunjia familia na umekiri kutumia mpaka pesa zake.

Hapo kuna mawili umkatae mwanamke kabisa na ukatae kila kitu hata ukikuttana na jamaa, yaani jiandae kwa vita.

Au umchukue mwanamke na uhame kabisa hata mkoa
 
Ukiachana na umalaya wako unamakosa yafuatayo

(a) Umetumia laini ya mtu kufanya uhalifu TCRA ,kupitia vyombo habari wanakataa sana jambo Hilo nikosa kwa kanuni zao ,ukikamatwa hiyo laini uliyotumia sio jinalako pia umemwingiza mshikaji aliyekusajilia laini kwenye mgogoro wa kikanuni na TCRA(adhabu yake kifungo miaka 5 au faini milioni 5 au vyote kwapamoja

ANGALIZO ,nyie mnaopenda kusajiliwa watu laini zenu kuweni makini na watu ,mfano jamaa angeamua achukue hatua zaidi mwasilika namba Moja kwa kufilwa ni msajili laini

Achana na wake zawatu mashangazi kibao wapo ,ukishindwa kabisa tumieni signal na sio visimu vyenu
 
Khabarini wana jukwaa.

Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya mchakato nikapata mawasiliano yake. Baada ya kuwasiliana na kumueleza shida yangu hakuwa na hiyana hivyo tukaingia katika mahusiano japo alinambia kuwa yeye ni mke wa mtu na ana Watoto wawili.

Kusema kweli tulipendana, mpaka sasa nampenda sana. Mme wake ni mtu wa mishemishe, mara nyingi hayupo. Hivyo nilikuwa naenda usiku kulala kwake na siku nisipoenda basi nilikuwa nampigia simu huyo mpenzi wangu tunazungumza hadi usiku wa manane. Au chatting kwa WhatsApp au sms za kawaida. Japo tulifanya kwa siri sana na mtu asingeweza kugundua, hata rafiki zangu wa karibu hawakujua na rafiki zake pia hawakujua lolote.

Penzi letu lilinoga mno, ilifikia hatua nikawa namiliki CREDIT CARD ya mme wake, na haikuwa issue kufanya miamala midogo midogo. (sio kwamba nilikuwa nalelewa sema tu alinipenda na kuniamini kiufupi tunapendana) pia nilimpenda mno mtoto wake mdogo, nilikuwa nampelekea vizawadi zawadi nikienda kulala, nacheza nako in short ni kacheshi mno kale katoto na kalinipenda pia.

Wakuu, hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye mwenyemke akajua kwamba mke wake anachepuka, (hapo ndipo chanzo cha tatizo langu) akajaribu kutafuta ajue anachepuka na nani, akatafuta mpaka akapata namba yangu, mke wake akanambia kuhusu hili hivyo tukakubaliana tusitumiane sms na atakuwa ananitafuta yeye. Na mimi niliamua kuchukua extra precaution ikiwa ni Pamoja na kutopokea namba ngeni, pia mke wake alikuwa akinipigia nikipokea nasubiri aanze yeye kuongea ndo na mimi niongee. Baada ya jamaa kuona sipokei namba ngeni wala kujibu sms za namba ngeni aliamua kutafuta jina nililosajiria laini, nashukuru mungu laini yangu hiyo nilisajiri kwa jina la mtu mwingine na mtu huyo alikuwa mkoani hivyo asingeweza kunifahamu.

Baada ya harakati za kunitafuta kugonga mwamba, jamaa aliamua Kwenda mkoani kuendelea na mishe zake. Mimi na mpenzi wangu tukarudisha mapenzi na tukaendelea kuchati na kupeana mambo kama kawaida. Siku ya jumamosi mwezi wa nne tarehe 13 jamaa alirudi, na mke wake alinijuza juu ya ujio wake. Usiku mida ya saa 4 kuna message moja illingia WhatsApp kutoka namba ngeni nanukuu

“NIMEAMUA KUKUACHIA HUYO MWANAMKE, KESHO ATAKUJA MUANZE NAE MAISHA, MIMI NTABAKI NA WANANGU. ASANTE SANA MWANAUME MWENZANGU”

Ujumbe huu ulinishitua sana na ukizingatia ulikuwa umeeandikwa kwa maandishi makubwa kuonesha msisitizo, kusema kweli niliamua kuhama ghetto nikaenda logde kulala ili kulinda usalama wangu maana nilihisi kama naweza patwa na jambo baya. Pia simu nilizima ili isije kuwa tracked nikapatikana kiboya. Usiku sikupata usingizi hata kidogo yaani hata kufumba tu macho hakuna. (acheni jamani watu tunapitia shida sana hapa Tanzania duh) kuna mda natamani hata niwe mkimbizi Afghanistan kuliko kuishi hapa Bongo.

Kuna jambo moja ambalo mke wake hakunambia na alinambia ikiwa ni too late. Kumbe jamaa alimpa zawadi ya simu kabla hajarudi mkoani kwenye mishe zake, simu hiyo alikuwa ameihack achilia mbali normal sms and calls, hata chatting za WhatsApp alikuwa anaziona na kuzisoma. Jambo hili lilinishitua sana maana nilijua atakuwa amenasa pia picture zangu tunazotumiana na mkewe hivyo kudakwa ni suala la muda tu.

Kwa ufupi ni kwamba.

Jana Asubuhi na mapema nilihama huo mtaa, nikaenda mtaa mwingine mbali kabisaa maana nilihisi jamaa anaweza niletea huyo mke wake hadi kwangu. hivyo asubuhi na mapema niliita Kirikuu ikabeba vitu vyangu nikasepa. Leo saa 4 usiku nikapokea simu ya huyu mwanamke (mpenzi wangu) akanambia kwamba

baba jay (code) amekuja na mwanamke mwingine, mimi amenifukuza amekatalia watoto wake nimekuja hapo kwako wamesema umehama, kwanini umehama bila kunambia? Uko wapi nahitaji tuzungumze.

Ujumbe huu umefanya nikatetemeka kuanzia unyayo mpaka utosi, sikutarajia jambo kama hili, huyu mwanamke anasema anataka aje tuishi, pia nimsaidie afungue shauri mahakamani ili apewe talaka, mgawo wa mali na Watoto pia. Yaani niko njia panda nawaza nimuelekeze nilipo? Dah! Hata sielewi… na mimi sina mpango wa kuoa saa hizi. Yaani kimsingi sitaki kabisaa mambo ya kuoa iwe leo au kesho. Hata nikitaka kuoa siwezi oa single mother, nyumbani watanielewaje? Wakiskia story kuhusu huyu mpenzi wangu je itakuwaje? Duh.

Mambo ni mengi sema siwezi Andika yote ntapoteza muda wenu bure.

Ndugu zangu naombeni Mnishauri nina shida sana. Yaani dunia imekuwa chungu sana kwangu, naishi kwa kujificha kama mnyama duh! Nimechoka na maisha ya utumwa. (better die free than living as a slave)
DON

Dan Zwangendaba hakusikia ushauri wako au hakuhudhuria kikao
 
Mi simtaki tena huyo mwanamke. Nataka tu amani basii. Mambo yaishe
Wewe hivi Mbona ni mpuuzi! Humtaki Kivp wakati ulisema unampenda na mnapendana? Mimi maombi yangu huyo jamaa atakukamata tu na akishakutia mkononi kama ni kweli hii stori utafirwa. Tumeshaona watoto wakiume wakifirwa wanaishia kuwa desperate wanatumia madawa mwisho wanajiua.
Ila ninashangaa mtu aliyepo kwnye situTion kama yako anapata na muda wa kuchat na kujibu watu hivi😂😂😂
 
Mkuu nakuhakikishia lazima ntakuletea mabaunsa wale ilo jicho picha zako zote na chati zako ninazo kwenye simu kama ushaidi ni swala la muda tu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa ila hapa sio kuna kashfa ila ni unaambiwa kitu really kabisa...

Mungu akuepushe na mabaya yote ndgu yangu....daaaah pole sana kumbe hii mambo ya mafuta inatishia amani aiseee..

Pole
ila kuna watu mna ushauri wa kinafiki. Yaani mungu amuepushe vipi wakati anafahamu kabisa na jamaa anakwambia sipokei simu na baada ya jamaa kuondoka akaendelea kuchati na hyo mwanamke. Mimi nasimama na jamaa nataka huyu jamaa afirwe akili imake sawa.
Ila wataalamu wa kusoma stori hii stori ina loopholes nying na imekosa FLOW
 
Umri wako?
Khabarini wana jukwaa.

Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya mchakato nikapata mawasiliano yake. Baada ya kuwasiliana na kumueleza shida yangu hakuwa na hiyana hivyo tukaingia katika mahusiano japo alinambia kuwa yeye ni mke wa mtu na ana Watoto wawili.

Kusema kweli tulipendana, mpaka sasa nampenda sana. Mme wake ni mtu wa mishemishe, mara nyingi hayupo. Hivyo nilikuwa naenda usiku kulala kwake na siku nisipoenda basi nilikuwa nampigia simu huyo mpenzi wangu tunazungumza hadi usiku wa manane. Au chatting kwa WhatsApp au sms za kawaida. Japo tulifanya kwa siri sana na mtu asingeweza kugundua, hata rafiki zangu wa karibu hawakujua na rafiki zake pia hawakujua lolote.

Penzi letu lilinoga mno, ilifikia hatua nikawa namiliki CREDIT CARD ya mme wake, na haikuwa issue kufanya miamala midogo midogo. (sio kwamba nilikuwa nalelewa sema tu alinipenda na kuniamini kiufupi tunapendana) pia nilimpenda mno mtoto wake mdogo, nilikuwa nampelekea vizawadi zawadi nikienda kulala, nacheza nako in short ni kacheshi mno kale katoto na kalinipenda pia.

Wakuu, hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye mwenyemke akajua kwamba mke wake anachepuka, (hapo ndipo chanzo cha tatizo langu) akajaribu kutafuta ajue anachepuka na nani, akatafuta mpaka akapata namba yangu, mke wake akanambia kuhusu hili hivyo tukakubaliana tusitumiane sms na atakuwa ananitafuta yeye. Na mimi niliamua kuchukua extra precaution ikiwa ni Pamoja na kutopokea namba ngeni, pia mke wake alikuwa akinipigia nikipokea nasubiri aanze yeye kuongea ndo na mimi niongee. Baada ya jamaa kuona sipokei namba ngeni wala kujibu sms za namba ngeni aliamua kutafuta jina nililosajiria laini, nashukuru mungu laini yangu hiyo nilisajiri kwa jina la mtu mwingine na mtu huyo alikuwa mkoani hivyo asingeweza kunifahamu.

Baada ya harakati za kunitafuta kugonga mwamba, jamaa aliamua Kwenda mkoani kuendelea na mishe zake. Mimi na mpenzi wangu tukarudisha mapenzi na tukaendelea kuchati na kupeana mambo kama kawaida. Siku ya jumamosi mwezi wa nne tarehe 13 jamaa alirudi, na mke wake alinijuza juu ya ujio wake. Usiku mida ya saa 4 kuna message moja illingia WhatsApp kutoka namba ngeni nanukuu

“NIMEAMUA KUKUACHIA HUYO MWANAMKE, KESHO ATAKUJA MUANZE NAE MAISHA, MIMI NTABAKI NA WANANGU. ASANTE SANA MWANAUME MWENZANGU”

Ujumbe huu ulinishitua sana na ukizingatia ulikuwa umeeandikwa kwa maandishi makubwa kuonesha msisitizo, kusema kweli niliamua kuhama ghetto nikaenda logde kulala ili kulinda usalama wangu maana nilihisi kama naweza patwa na jambo baya. Pia simu nilizima ili isije kuwa tracked nikapatikana kiboya. Usiku sikupata usingizi hata kidogo yaani hata kufumba tu macho hakuna. (acheni jamani watu tunapitia shida sana hapa Tanzania duh) kuna mda natamani hata niwe mkimbizi Afghanistan kuliko kuishi hapa Bongo.

Kuna jambo moja ambalo mke wake hakunambia na alinambia ikiwa ni too late. Kumbe jamaa alimpa zawadi ya simu kabla hajarudi mkoani kwenye mishe zake, simu hiyo alikuwa ameihack achilia mbali normal sms and calls, hata chatting za WhatsApp alikuwa anaziona na kuzisoma. Jambo hili lilinishitua sana maana nilijua atakuwa amenasa pia picture zangu tunazotumiana na mkewe hivyo kudakwa ni suala la muda tu.

Kwa ufupi ni kwamba.

Jana Asubuhi na mapema nilihama huo mtaa, nikaenda mtaa mwingine mbali kabisaa maana nilihisi jamaa anaweza niletea huyo mke wake hadi kwangu. hivyo asubuhi na mapema niliita Kirikuu ikabeba vitu vyangu nikasepa. Leo saa 4 usiku nikapokea simu ya huyu mwanamke (mpenzi wangu) akanambia kwamba

baba jay (code) amekuja na mwanamke mwingine, mimi amenifukuza amekatalia watoto wake nimekuja hapo kwako wamesema umehama, kwanini umehama bila kunambia? Uko wapi nahitaji tuzungumze.

Ujumbe huu umefanya nikatetemeka kuanzia unyayo mpaka utosi, sikutarajia jambo kama hili, huyu mwanamke anasema anataka aje tuishi, pia nimsaidie afungue shauri mahakamani ili apewe talaka, mgawo wa mali na Watoto pia. Yaani niko njia panda nawaza nimuelekeze nilipo? Dah! Hata sielewi… na mimi sina mpango wa kuoa saa hizi. Yaani kimsingi sitaki kabisaa mambo ya kuoa iwe leo au kesho. Hata nikitaka kuoa siwezi oa single mother, nyumbani watanielewaje? Wakiskia story kuhusu huyu mpenzi wangu je itakuwaje? Duh.

Mambo ni mengi sema siwezi Andika yote ntapoteza muda wenu bure.

Ndugu zangu naombeni Mnishauri nina shida sana. Yaani dunia imekuwa chungu sana kwangu, naishi kwa kujificha kama mnyama duh! Nimechoka na maisha ya utumwa. (better die free than living as a slave)
?
 
Sema mwenye udhaifu, ni sahihi zaidi. Na sio kupenda bali kutamani.

Haiingii akilini, Huo ujasiri wa kutembea na mke wa mtu unatoka wapi?
.
haiihitaji degree kufhamu hilo.
Hii chai inafurahisha tukisema tuanze kuunga matukio kuonyesha hii chai atakimbia hapa
 
Hadi Credit Card ya Mwamba ulikuwa unaitumia..Aloo jiandae na ulibebe hili..

Kuwa kwenye mahusiano na mke wa mtu ni kujiingiza mwenye kwenye tanuru la moto..
 
Dah!
Mwamba kanikumbusha mbali sana
One day ntakuja na kisa kama hichi ila mimi sikula mke wa mtu ila nlikuwa nae karibu.

KAma wewe ni mzinifu na huwezi acha. Sharti uepuke makundi haya
Wake/waume za watu
Wanafunzi
WAtoto[under 18]
Ukizingatia haya utazini sana na utahukumiwa na Mungu tu ila si mwanadamu
 
Back
Top Bottom