Msaada: Mke wangu ana hasira kupita kiasi

Duh nimekufeel unavoumia.. Mchunguze mayb kuna kitu kilishamtokea huku nyuma kinamnyima raha
 
Fuatilia historia ya mkeo kuna kitu kilishawahi muumiza sana so huwa kama kinazunguka kwenye mind yake 2.huenda wakati wa uchumba alitegemea mengi ila anaona kama mambo hayaendi so inam frustrate 3. Huenda anashida ambayo anaiweka moyoni so inamdisturb 4.huenda pia baadhi ya maneno yako huwa anayabeba na kuyawaza ikiwa ww unaona normal talk lakin mwenzako anayatafakar mbali zaid 5.jua hobies zake huenda pia kuna vitu kama kavikosa tangu awe na ww so anajionea kero tu.....KWANGU HAYO TU
 
Hao watu wakishakaa kwenye Ndoa huwa wana stress sana...yaani unaweza hata ukarusha ngumi
 
Thanks you guys a lot for supporting me in this bad situation I'm going through.🙁God bless u again my friends. Ukiona mwanaume anaomba msaada Jua yamefika shingoni.
 
Kwanza tambua kuwa MUNGU (mola)hampi mtu/mwanadam misalaba,hayupo kumjaribu mtu ila yupo kumuwekea mlango mtu ktk jaribu alilonalo.

Unaamin MUNGU?kweli inaweza kuwa ni ugonjwa kama unavyo sema au wasomi wasemavyo.

Kwa mm mwenye iman ndogo kuliko hata punje ya haradan,hakuna and ko linalosema hasira ni ugonjwa ila lipo linalosema hasira hukaa kifuan mwa mpumbavu.

Nakusihi katika jina lipitalo majina yote.Muombee mkeo na km ww huwez mpeleke kwa wapakwa mafuta,makuhan watamuombea na akakuwa salam.

Anaweza asikubali yy kwenda huko jifunge mkanda ujue si yy ni roho nyingine ndan yake.peleka hata picha na atafunguliwa.

BIBLIA INASEMA;HAKUNA LINALO SHINDIKANA KWAKE YY AAMINIYE.
 
Sasa hivi imefikia mahali namwaza sana .mpaka na mimi inaniletea shida .Badala ya kufikiria ukienda home there are joyful but is opposite direction. Mpaka navyoongea vidonda vya tumbo vimeamka nakaa kiupande upande tuu JAMANI,
 
Kaka huna haja ya kuwaza utapoteza hata ham ya kufanya kaz mwishowe utaamua maamuzi yasio na busara.

Mwiteee yesuu yeremia 33:3 unasema"niite nami nitakuitikia nami nitakuonesha mambo makubwa na magumu usiyo yajua"

IPO NGUVU KATIKA MAOMBI.VUMILIA
Sasa hivi imefikia mahali namwaza sana .mpaka na mimi inaniletea shida .Badala ya kufikiria ukienda home there are joyful but is opposite direction. Mpaka navyoongea vidonda vya tumbo vimeamka nakaa kiupande upande tuu JAMANI,
 
Medulla oblongata imestack kidogo....

Tehee, refresh au restart mambo yatarudi kama masaa matano yaliyopita.
 
Kama huu ugonjwa una Dawa na mimi naihitaji sana
 
Thanks you guys a lot for supporting me in this bad situation I'm going through.🙁God bless u again my friends. Ukiona mwanaume anaomba msaada Jua yamefika shingoni.
Mkuu usijali inatibika .... need uvumilivu na uwe unaukaribu na upole wa maneno!! juice ya ndimu itumie sana!!
 
Pole sana... kuna mdada tunae kazini.. nae ana tabia mbili za furaha na hasira ambazo huja ghafla bila kupishana sana... Dakika moja mnaongea vizuri dakika nyingine anachukia ghafla au kukuchukia... baadae ana rudi kawaida tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…