Msaada: Mke wangu anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa

Msaada: Mke wangu anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa

Hukutest engine kabla hujanunua gari?? Au lilikuwa jipya direct toka Japan ukadhani kila kitu Kipo sawa ?
Hata kiwandani kuna saa huwa wanakosea bidhaa huwa tunarudisha unapewa ingine.pole
 
Habari wakuu poleni na majukumu.

Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe.

Je, tatizo nini itakuwa?
Huenda ana uke mkavu , au ana infections kwenye uke (bacterial vaginosis)

Au huenda pia ana acute PID

Wahi hospitali wakamuangalie pia kama viwango vya vichocheo (hormones) kama zipo sawa.
 
Watu wengi hupuuzia au hawazijui taratibu hizi za usafi kwenye mji mtakatifu wa mwanamke. Wengine hutumia sabuni na kemikali zisizo na ulazima. Usafi kupita kiasi hupelekea matatizo mengi yakiwamo maumivu wakati wa tendo, na vijipu vidogo vinavyoitwa bartholin cysts... pamoja na harufu isiyovutia. Matatizo hayo hupotea yenyewe mtu akiacha huo "usafi" usiotakiwa.
 
Back
Top Bottom