Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Habari wakuu poleni na majukumu.
Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe.
Je, tatizo nini itakuwa?
AhaaaSomeni hapa.
Mzingatie.
Is It Safe to Use Soap? And 12 Other FAQs About Vaginal Health
Here’s what you need to know about keeping your vagina clean and healthy.www.healthline.com
Huenda ana uke mkavu , au ana infections kwenye uke (bacterial vaginosis)Habari wakuu poleni na majukumu.
Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe.
Je, tatizo nini itakuwa?
Watu wengi hupuuzia au hawazijui taratibu hizi za usafi kwenye mji mtakatifu wa mwanamke. Wengine hutumia sabuni na kemikali zisizo na ulazima. Usafi kupita kiasi hupelekea matatizo mengi yakiwamo maumivu wakati wa tendo, na vijipu vidogo vinavyoitwa bartholin cysts... pamoja na harufu isiyovutia. Matatizo hayo hupotea yenyewe mtu akiacha huo "usafi" usiotakiwa.Ahaaa
Good thinkingNendeni hospital kwa check-up na matibabu zaidi.
Ewaaaaah!!!Good thinking